Recent content by nswambe george

  1. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naitwa mwal. Victoria Shayo nataka kubadilishana kituo na mwalim yeyote wa ngaz y sekondar aje Rungwe mm niende Mbeya jiji, shule ipo barabaran kuna huduma zote za jamii kama umeme, maji, barabara n.k! No. O714212223
  2. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naitwa mwal. Victoria Shayo nataka kubadilishana kituo na mwalim yeyote wa ngaz y sekondar aje Rungwe mm niende Mbeya jiji, shule ipo barabaran kuna huduma zote za jamii kama umeme, maji, barabara n.k!
  3. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    tubadilishane vituo
  4. N

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naitwa Mwal Diana nataka kwenda Geita natafuta wa kuja Sengerema 0714212223
  5. N

    JamiiForums Tanzania Post graduate ya ualimu

    Nimesoma post graduate udom na nimepangiwa kituo cha kaz ....ondoa shaka nenda kasome UDOM
  6. N

    JamiiForums Tanzania Walimu

    mm nipo rift valley sec
  7. N

    JamiiForums Tanzania Walimu

    upo tayar?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Walimu

    Njoo monduli nije mbeya! Naitwa Doroth Willium 0658606945
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    Nafikl hii ilikua njia nzur, ugum unakuja kwamba natakiwa kutoka nje ya mji kikaz, si unajua hiz ajira mpya nazo! japo sio mbali saana ko kumzoe bado itakua ngumu na yy yupo hapahapa mjin ila mm nitakua mbal nae kidogo ni mwendo wa masaa 4 kutokq mjin alipo na ntakua huko kazn,,
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    mtaita majina yote lakn hua lazma kuna watu wazito kuelewa katka kila kundi, nafikil ww ni moja wapo,!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    Nimekuelewa mkuu, nimepata kitu,
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    IQ yako ndogo sana
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    Sio wakwanza, shida iliyopo nikukosa mazoea naye alafu ni mtu wa dini sana....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    Jaman mtu akiomba msaada si unamsaidia au? hatuko sawa bana....
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nianzeje kumsemesha?

    Kuna dada tunaishi naye mji mmoja na huwa siku zote naogopa kumueleza hisia zangu jinsi alivo ni yupo serious mda wote, nampenda sana. Katika pitapita zangu jana nikakutana nae nikafanikiwa kupewa namba ya simu. Kumpigia bado anaonekana yuko mbali sana japo sijui ndo alivo! Na kwakuwa...
Back
Top Bottom