Recent content by Nsubileghe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu Utakayoulizwa wakati wa Usaili (Interview) wa Visa ya Marekani

    pale kwa interview ya visa hawaulizi labda iwe sababu ya trip ni medical check-up. lakini kuna procedures katika kuijaza ile fomu ya DS-160 Ambayo masawali yote muhimu huulizwa huko... kwa habari ya ugonjwa kwa mtu anayekwenda marekani hasa wale walioshinda Green card au DV Lottery kama una...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu Utakayoulizwa wakati wa Usaili (Interview) wa Visa ya Marekani

    Karibu sana Mkuu, ahsante kwa kuapreciate
  3. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TTCL Fiber kuweni 'serious' na huduma zenu; kama mnaelemewa leteni wawekezaji

    tafadhali Tabata/Segerea mnafika lini?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu Utakayoulizwa wakati wa Usaili (Interview) wa Visa ya Marekani

    Unapoomba Visa ya Marekani (US Visa Interview) katika Ubalozi au Konseli ya Marekani, mahojiano ni sehemu muhimu. Afisa wa ubalozi atauliza maswali ili kuthibitisha kuwa taarifa ulizoandika kwenye fomu ni sahihi na kujua nia yako ya kweli ya kusafiri Marekani. 🔹 Maswali ya kawaida unayoweza...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

    Tunafanya visa applications, tupo Dar ila nitajitahidi ila unaweza kulipia kwa simu kesho nitakukol. 0680941469
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashindwa kujizuia hisia zake za furaha. Awashukuru wana CCM na viongozi kwa kumtakia heri ya Siku yake ya Kuzaliwa

    Heri ya siku ya kuzaliwa Honorable Doctor Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 27th.January.2025
Back
Top Bottom