Hapo hapo, na ndo tabia. Hii ya kuzana ingeishia wapi bila hao wanaolalamikiwa wasingetokea? Sometimes waarabu hawana issue, when it comes to historical bkgrnd zao. Yote yamepita, kwa sababu sasa hakuna anayelazimishwa kwenda kusoma uarabuni wala uingereza wala kwa obama... Woooote tunaenda soma...
Kwa akili yangu ndogo ambayo imefanikisha kujua kusoma na kuingia JF, najiuliza hii ni sensa ya tano! Nyingine zoote zilizita zimefanyika kwa amani, hii ya sasa inakuwaje? Maana rais angekuwa ni mkristu ningeegemea kwa upande fulani labda anapingwa, lakini sasa enzi za akina alhaj Mwinyi, mbona...
",,"...hapo mzee lazima utakuwa na ufa katika ubongo.... Hili haliitaji kwenda shule, kwa umri wako huu huoni umuhimu wa sensa, ....oh sijajua level ya elimu yako, sorry!
Kwa ambaye hajaenda shule, kamwe hatojua umuhimu wa sensa kwa shughuli za maendeleo... Sidhani kama mtu ataweza kufananisha na mwenge! Hii ni kuikosea nidham akili zenu wote mnaopinga sennsa eti kuwa haina issue.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.