Recent content by nsinsi

  1. N

    Kitendo anachofanya mkuu wa mkoa Kagera Bw. Mongela ni cha kihalifu

    Kuishia kulalamika sio suluhisho kusanyeni ushahidi fungueni kesi ya jinai kwani chadema hakuma wanasheria??
  2. N

    UCHAMBUZI: CCM yasoma alama ya Nyakati, UKAWA waendeleza status quo

    Wakuu, naona mnatumia nguvu kubwa kumjibu huyu madam hamjui kuwa anatafuta viti maalum asipopata sijui ataangukia wapi?
  3. N

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Mleta mada umekunywa viroba vingapi leo??
  4. N

    Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

    Tatizo litakalo tumaliza nchi hii ni kuchagua watumikia vyama badala ya kutumikia wananchi. So long as matwakwa ya vyama na washirika wao yapo salama hawatajali matatizo ya wananchi, ndio maana watu kama kina faizer foxy wanatetea hata ujinga uliowazi wazi. Ni ukweli uliowazi kabisa katika miaka...
  5. N

    Amon Mpanju:Tume ya Jaji Warioba haikuongozwa na Weledi

    Inasikitisha sana kuona watu kama hawa tena walemavu wanatoa hoja mfu kwa aibu ya pesa na vimadaraka uchwara. Eti tume ya Warioba haikuwa na weledi, kuwajubu watu kama hawa ni kupoteza muda.Wameamua kujitoa ufahamu kwa aibu yao na vizazi vyao. Kwanza wajue kuwa yale wanayoyaita maoni ya warioba...
  6. N

    My Eyes On Presidential Race 2015: Charles Julius Kambarage Nyerere Vs Dk Wilbrod Slaa

    Nakushuru sana mkuu DSN kwa ufafanuzi wako wenye afya na kistaarabu bila kutumia lugha za kashafa wala matusi. Kwa kifupi nimependa approach yako ya kujibu hoja kwa kutumia hoja. Kwa sehemu kubwa nimekubaliana na hoja yako ya kumpata kiongozi mwenye upeo,makini,mchapakazi,mzalendo wa...
  7. N

    My Eyes On Presidential Race 2015: Charles Julius Kambarage Nyerere Vs Dk Wilbrod Slaa

    kwanza nikupongeze mkuu mtoa mada kwa jitihada zako katika mada yako umeeleza mambo mengi sana mabayo kimsingi sikuona sababu ya kuzunguka kote huko mara ujamaa, mara ubepari mara ukoloni mara uchumi huria mara uchumi wa soko na mambo mengi. Kimsingi sikuona muunganiko wa moja kwa moja wa hicho...
  8. N

    Alhamdullillah, sasa kwa msaada wa SERIKALI tunajiandaa kuiba BILIONI 40 za mkopo wa World Bank

    Namshangaa ofisa mkubwa wa ofisi ya PM kung'ang'ania eti WB hawapaswi kuingilia maswala ya matumizi ya pesa ya mkopo, hii ni dalili mbaya kwa watendaji wetu wao wangeshukuru WB wanawasaidia kupunguza ufisadi badala ya kutetea uozo Lazima watambue kuwa wafadhili wamechoka kuona kila wakitoa pesa...
  9. N

    Iramba Magharibi sasa kukombolewa toka wanauchumi wanyonyaji

    Tunakusubiri kwa hamu mkuu ulete mada nzuri
  10. N

    Facts 13 kuhusu Lowassa na Uchaguzi 2015

    Hata kama chama chake kikimpitisha siwezi kumchagua mtu ambae amekaa bungeni miaka 8 kama bubu hata kuchangia wala kutoa hoja moja kuwasemea wananchi wake leo eti anapewa sifa za wajinga kwa sababu tu watu wanalipwa,kweli watanzania tunanunulika kwa bei ya ubuyu.ukimlipa mjinga senti ya mboga...
  11. N

    Iramba Magharibi sasa kukombolewa toka wanauchumi wanyonyaji

    Iyanga ungetulia ungetoa hoja nzuri ila sasa umeishia kulalama bila kueleweka vizuri. Nakushauri tulia ujipange urudie vizuri andiko lako
  12. N

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    Ukiiangalia hoja haraka haraka utafikiri mleta mada ana hoja ukweli ni kwamba mleta mada alitakiwa kuainisha kwanza kazi za KUB na angeleta na uthbitisho,pia angechora mstari kwa kutumia kanuni,sheria,mipaka na miiko ya matumizi ya gari la KUB badala ya kutoa tuhuma za jumla. Mtoa mada pia...
  13. N

    Sheria hii ya Utumishi wa Umma ifanyiwe marekebisho katika Bunge lijalo

    Kwa kifupi mkuu salary slip kujenga hoja huku unamaslahi ni shida sana naona umembana vilivyo mkuu wilson povu limemtoka naona kapewa ubunge wa viti maalum
  14. N

    Sheria hii ya Utumishi wa Umma ifanyiwe marekebisho katika Bunge lijalo

    Kwa nini upewe kinga kwa kitu cha kipuuzi kama hicho ambapo hata mtoto mdogo anajua kuwa sababu kubwa ni kuwanyima fursa watumishi wa umma nafasi za kiasa kwa mlango wa nyuma Wanaopinga hoja hii hawajui maana pana ya utimishi wa umma. Maana pana ni kuwatumikia watanzania walewale kwa nn...
  15. N

    Sheria hii ya Utumishi wa Umma ifanyiwe marekebisho katika Bunge lijalo

    Hivi mkuu kikaratasi cha mshahara anaefaa zaidi kuongoza wizara ni nani kati mtumishi wa umma aliyebobea katika masula ya utumishi na mfanyabiashara asijejua chochote cha utumishi wa umma anakuja kua chief executive wa wizara na kutoa maamuzi ya mwisho. Kinachonishangaza zaidi nyaraka...
Back
Top Bottom