Recent content by Nsimbinso

  1. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa maisha utakaokufanya usikate tamaa

    Bwana bwana... Maisha ni kitu ingine kabisa asee. Ngoja nisimulie kwa kifupi sana safari yangu ya maisha... Yaweza kuwatia moyo wengi wanaopitia haya niloyopitia / ninayopitia kwa sasa. Bwana bwana asee... Ndoto yangu ilikuwa kuishi Arusha buana... Baada tu ya shule nikaanza safari ya...
  2. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Vikiishatokea ndo nitaamini... Tofauti na hapo ni porojo tu za kila siku.
  3. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Haya maisha buana... Inawezekana kabisa Lukuvi ndo kajua mwaka huu kuwa Kuna haka ka-utaratibu ka dalali kuchukua kodi ya mwezi mmoja...wakati kina 'sie' tumekuwa tukipambana nako kwa muda mrefu sasa.
  4. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Siyo lazima Mbunge aitwe Mheshimiwa

    Very sure
  5. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

    Hakuna tena wapinzani wa kupiga vijembe na kuwaburuza... Sasa inabidi tutafute wapinzani nje ya bunge ili tuendelee kuwapiga vijembe na maneno ya kwenye kanga.
  6. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania BBC: Watanzania waliopata chanjo ya COVID-19 ni asilimia 0.6 tu!

    Koho koho
  7. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Muonekano wa Ofisi za Kanda za CHADEMA waanza kubadilika

    Hilo nalo neno.... Hahahahahah
  8. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona Afisa Afya Tunduru akipita nyumba kwa nyumba kuchanja, suala hili lisifanyike kwa mabavu

    Watu wanalinda ugali wao kwa kutumia gharama ya wengine bhana... Usione ajabu hao wanaopita nyumba kwa nyumba wao hawajachanja
  9. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

    Another kenge in town
  10. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Kitabu alichoonesha Freeman Mbowe alipokuwa anaingia Mahakamani kina ujumbe gani?

    Nipo chapter ya 14, Relax for Easy Power... (Sijui na mimi nitashtakiwa kwa ugaidi?... Maana ma-ccm milioni nane yana mawazo matatu tu (General Ulimwengu))
  11. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Moja kati ya sifa za shetani ni kukosa aibu.
  12. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Moja kati ya sifa za shetani ni kukosa aibu.
  13. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu

    Una mume aliye Chadema kakutosa eeeh?!
  14. Nsimbinso

    JamiiForums Tanzania Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

    ... hivi habari za chanjo bado zipo?!... Wapi Gwajigirl?!... Wanaanza lianzisha tena eeeh... Wasituhudumie ambao hatujachanja. FULL STOP
Back
Top Bottom