Recent content by NSHOMA FRANCOUS

  1. N

    Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

    Wakawaulize TISS ,huyo mama wanamwonea,nasikia wao waislam walianza kujitwalia nasafi nyeti serikali iliposhtuka wakamwondoa mkuu wa chuo,alieletwa mpya wakamfanyizia navyosikia,hapo unataka wachukue hatua gani zaidi yakusambalatisha hako kakikundi
  2. N

    TANESCO wanataka ninunue transformer

    We ndo hufai..siku zote fanya kazi kwa documents ili uwe na ushahidi,ili la kujibiwa kwa mdomo linaonekana ni majungu tu
  3. N

    Mshtuko: Kumbe Mikoa ya Morogoro na Katavi kuna Wasukuma?

    Walioko huko ni Wanyantuzu(aina ya Wasukuma)...ni fighters kweli hao,wakorofi wana jiamini
  4. N

    Wito kwa Vyombo vya dola vimchulie hatua James Mbatia kwa kumkashfu Rais Samia na kuchochea Uasi Nchini

    Ya tz hayotekei nchi zingine, hachukuliwe hatua kwa kuongea maoni yake? unajua kinachoendea Kenya? watu wako open na straight ktk facts... nyie wapumbavu endeleeni na upumbavu
  5. N

    CCM, picha za umwagaji damu Uchaguzi 2020 zinazosambazwa mitandaoni na wanachama wenu kupongeza waliomwaga damu, si dalili njema

    Ukishajua unaongoza watu wa aina gani,ni rahisi Kuwaitreat accordingly.. Watz hatujitambui
  6. N

    Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    Jasho lako lipi?tafuta mali zako,huyo Dingo akiuza zake ni sawa tu
  7. N

    Barua ya wazi kwa Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Hivi wakati unaweka ndani Masheikh wetu ulikuwa unafikiria nini?

    Raisi analaumiwaje kama mihimili mingine inafanya kazi kiufasaha?hao inawezekana walikamatwa hata raisi hajui,Wale Wa Uamsho tunajua walikua tishio kwenye suala la Muungano
  8. N

    Ni mnyama gani huyu jamani?

    Photoshop
  9. N

    Muonekano wa Lengai Ole Sabaya baada ya kumaliza kifungo.

    Huyu atakuja,kutolewa kwa misamaha anayotoa Rais
  10. N

    Utabiri Benin vs Taifa stars

    Ni mda wa wanasiasa sasa kutamba kwa ushindi wa Leo,hivi Bunge alijaanza?hahaha
  11. N

    Utofauti wa Hayati Magufuli na Rais Samia

    Jpm alikua mtawala sio kiongozi,jaribu kusoma kabla yakuja na idea yako
  12. N

    Taarifa kutoka TRA kuhusu kodi ya majengo

    Tunaenda kwenye solar panels ,ndo dawa yake
  13. N

    Taarifa kutoka TRA kuhusu kodi ya majengo

    Nyumba nijenge mimi nikilipia VAT ktk vifaa /mateial navyonunu afu nyumba ikamilike nianze kulipia kodi !!!!bado aingii akilini,ili swala linaonyesha tuna wawakilishi na viongozi wasiokua na msaada kwa wananchi
Back
Top Bottom