:):):):):rolleyes: huku nikimshukuru Mungu kwa kunipa upeo wa kuelewa japo kidogo. Haiingii akilini Rais anasimama na kuwatetea watu wake kushindwa kufanya jambo dogo kwa lugha ya Kiingereza kama kuandika barua alafu watanzania haohao anategemea wakashindane katika huu ulimwengu uliojaa...
Leo hii wachina anaojifanya kuwaiga wanazungumza Kiingereza strategically tofauti yao na sisi ni kuwa wao wanapata maandalizi stahiki na mbinu bora za ufundishaji wa lugha ya Kiingereza, sasa sisi tunajitetea ujinga tu ilihali walimu wenyewe wa Kiingereza wanafundisha lugha hiyo kwa Kiswahili...
Haya yote ni kwa sababu sisi kama taifa tunapenda sana mabadiliko lakini hauuko tayari kubadilika ili tuyapokee haya mabadiliko, kazi ni watu tu kunung'unika juu ya madhira wapitiayo bila kutend
Haya yote ni kwa sababu sisi kama taifa tunapenda sana mabadiliko lakini hauuko tayari kubadilika ili tuyapokee haya mabadiliko, kazi ni watu tu kunung'unika juu ya madhira wapitiayo bila kutend
Exactly! Hapa ndo ninaamini ule usemi kuwa Watanzania ni wavivu wa kusoma. Sasa makala ya kusoma under five minutes maximum mtu anaamua kuikacha ila ingekuwa stori za dhahania juu ya kisa cha mapenzi hata page 10 angesoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.