Member wote wa Jf wangekuwa na fikra na mtazamo kama wako, hakika mtandao huu ungekuwa msingi wa fikra pevu na vijana wengi wange badilika kimtazamo na hata kimaendeleo.
Umeishiwa wewe, mbona unakuwa mvivu wa kufikiri yan umekosa cha kupost unaweka upuuzi wako, hiyo ni chuki, wakongo, wakenya waliojaa nchini mbona huwataji!. inawezekana wewe mwenyewe unadaiwa na loan board, leta hoja za msingi wewe, humu dani kuna great thinker, hzo hoja zako wapelekee wavivu wa...
siku zote wana ccm na mmekuwa na uwezo mdogo wa kufikiri mambo kwa kina, na kwa upande mwingine hata pale mnapoona masilahi ya taifa yanaweza kupokonywa na mafisadi hamuwi wa kweli zaidi mnashabikia mambo ambayo hayana mwelekeo mzuri kwa taifa letu. hv ndugu kwa umepitia mswada ukauelewa vzuri...
Police kwa Cdm sio mhimu sana, kwani CDM imefanya mikutano mingi sana hata bila kuwepo hao police unaowasema. kila mpenzi wa Cdm ni kamanda wa Aridhini, wanajilinda wao wenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.