Recent content by Nsalaga Uyole

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

    Tumuombee Allah ampunguzie adhabu,Mimi nawewe tunaelekea hukohuko tukiwa na madhambi kibao.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Ni kwasababu tu nchi yetu ndio hii Tanzania, ukiwa rais/waziri uko juu ya sheria.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Inaruhusu kila kitu chenye maslahi kwa wakubwa,inazuia kila kitu kisichokuwa na maslahi kwao.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Hasa wa CHADEMA
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Kwa maana nyingine DPP kaondoa mashtaka baada ya kugundua kwamba serikali iliyopita ilikuwa inabambikia watu kesi,Je huyu aliyekuwa anaambiwa Mbowe alitoroka hakuwa kiongozi wa serikali iliyopita serikali bambikizi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Inamaana Rais SSH aliposema Mbowe ni gaidi alisema kwa niaba ya serikali iliyopita serikali yake haihusiki? Endelea kunipa elimu usichoke tafadhali.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Ni serikali ile kivipi? Nahitaji unipe elimu japo kiduchu kwa faida yangu mimi binafsi na wengine pia.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Pole sana mtani, ila iga busara za Uamsho walipoachiwa huru

    Namshukuru sana Mungu kwa kuweka ukomo wa binadamu kuishi duniani,mbele ya kifo hakuna bingwa,hata watesaji nao wafa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Nikisema serikali inamtumia DPP kukomoa watu nitakuwa nakosea? Unajua kabisa hawa watu hawana hatia unawaweka ndani miaka kdhaa au miezi halafu una ondoa mashtka[emoji24][emoji24][emoji24] "Eeeh Mwenyezi Mungu ninusru kamwe nisije nikawa mwanaCCM"
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

    Uko sahihi,aliyewaachia Mbowe na wenzake ni DPP, swali langu je kwanini hakuwaachia wiki moja au mwezi mmoja tu baada ya kukamatwa ?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

    Kwahiyo ukirithishwa vya wizi vinakuwa vya halali? Walioharibu uchaguzi ni CCM na rais wa Sasa ni CCM na alikuwepo kwenye huo uchafuzi/uchaguzi wa 2020.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Nimetolewa gerezani kwasababu nguvu ya umma ilikuwa imezidi nguvu ya vyombo vyao vya dola

    Unamfunga mtu miezi 8 halafu ukamtoa kwa shinikizo la watu fulani unakuwa umempa heshima? Akushukuru wewe badala ya waliopiga kelele! Akushukuru kwa lipi hali ya kuwa ulimfunga bila hatia?
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

    Kama hawayatambui matokeo ya urais ya 2020 juzi Mwenyekiti CDM alikuwa ameenda ikulu kufanya nini?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 wa CHADEMA washauriwa kujiuzulu kupisha mchakato halali ndani ya chama wa kupata wabunge halali, walioomba msamaha Watafikiriwa

    Chondechonde dada zetu hawa wasamehewe wote kazi iendelee,CHADEMA mlishawahi kutukosea mwaka 2015 lakini tulisha wasamehe na bado tuna imani kubwa na nyinyi.
Back
Top Bottom