Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Labda mkuu una definition tofauti ya 'Ukweli'
Dpp anamuachiaje mbowe wakati mahakama tayari imenuona ana kesi ya kujibu?
Kwa hiyo ulitaka mahakama ishinike kesi iendelee wakati aliyeileta hiyo hataki kuendelea nayo na washtakiwa hawataki kuendelea nayo

Ulimsikia mbowe na wenzie wakitaka kesi iendelee? Walifurahi tu wangekomaa kusema Sisii tunstaka iendelee mbona hawakusema
 
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana

Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki wakasema hatuna mpango wa kuendelea na hii kesi.Jaji akasema sawa nyie si ndie washtaki.

Ingekuwa mahakama inaingiliwa na Serikali jaji Tiganga siku ya kuamua kama kuna kesi au la kama Serikali na mahakama ni kitu kimoja angemwachia Mbowe na wenzie kuwa ushahidi hautoshi hawana kesi ya kujibu

Wale mnaosema Serikali inamiliki mahakama jifunzeni kupitia hii kesi Mahakama imeonyesha kuwa iko huru haiyumbishwi na Serikali muhimili mwingine
Acheni sasa kusema mama ameupiga mwingi.
 
Kwa ulitaka mahakama ishinike kesi iendelee wakati aliyeileta hiyo hataki kuendelea nayo na washtakiwa hawataki kuendelea nayo

Ulimsikia mbowe na wenzie wakitaka kesi iendelee? Walifurahi tu wangekomaa kusema Sisii tunstaka iendelee mbona hawakusema
Mbowe na wenzie wasingetaka kesi iendelee, bali hiyo sio kieleelezo kuwa wamefurahishwa na mwenendo wa kesi
 
Walionyesha kufurahishwa walikenua meno.kwa furaha kila mtu aliona wangekuwa hawakufurahishwa midomo yao ingenuna
 
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana

Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki wakasema hatuna mpango wa kuendelea na hii kesi.Jaji akasema sawa nyie si ndie washtaki.

Ingekuwa mahakama inaingiliwa na Serikali jaji Tiganga siku ya kuamua kama kuna kesi au la kama Serikali na mahakama ni kitu kimoja angemwachia Mbowe na wenzie kuwa ushahidi hautoshi hawana kesi ya kujibu

Wale mnaosema Serikali inamiliki mahakama jifunzeni kupitia hii kesi Mahakama imeonyesha kuwa iko huru haiyumbishwi na Serikali muhimili mwingine
Hii ni bange hakika
 
Mkuu Chakaza , hili la uzee linawezekana maana nimeikata 50 kitambo, naitafuta 60!.

Siku zote humu jf, mimi kosa langu ni moja tuu, na hili nitaingia nalo kaburini.
Kosa lenyewe ni kusema ukweli daima no matter what.

Kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, DPP pekee ndie hutoa Nolle. Hivyo aliye muachia Mbowe ni DPP, huo ukweli wenyewe.
P
Nkuu, hakuna mtu niliyesoma post zake kama wewe. Ni nyingi lakini kiukweli objectivity yako ime change.
Ukweli kabisa hakuna mhimili ulio huru perfectly. Kumbuka watu waliowahi kuhukumiwa na muhimili wa mahakama, Mandela, Nyerere, Mugabe, Kenyatta na hapa kwetu Tz......
Mihimimili yote hii husukumwa na upepo wenye uelekeo mmoja na huenda pamoja, so the reality is, hakuna ulio huru na kwa mujibu Mwenda uko uliojisimika zaidi na uko mbele kuivuta hiyo mingine.
Solution kubalance hii hali ni kuweka utaratibu mzuri na rafiki wa kikatiba na kisheria.
 
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana

Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki wakasema hatuna mpango wa kuendelea na hii kesi.Jaji akasema sawa nyie si ndie washtaki.

Ingekuwa mahakama inaingiliwa na Serikali jaji Tiganga siku ya kuamua kama kuna kesi au la kama Serikali na mahakama ni kitu kimoja angemwachia Mbowe na wenzie kuwa ushahidi hautoshi hawana kesi ya kujibu

Wale mnaosema Serikali inamiliki mahakama jifunzeni kupitia hii kesi Mahakama imeonyesha kuwa iko huru haiyumbishwi na Serikali muhimili mwingine
Ni kinyume chake ila umeamua tu kutetea serikali iliyopo kwasababu ya tumbo lako. Ninyi kwa ujinga wenu mnaua maelfu ya watu na hamjali kitu.
 
Kwa hiyo ulitaka mahakama ishinike kesi iendelee wakati aliyeileta hiyo hataki kuendelea nayo na washtakiwa hawataki kuendelea nayo

Ulimsikia mbowe na wenzie wakitaka kesi iendelee? Walifurahi tu wangekomaa kusema Sisii tunstaka iendelee mbona hawakusema

Maandishi yako yanaonyesha wazi una uwezo mdogo sana wa ufahamu wa hoja mezani. Ningekushauri ungesubiri zile hoja za uvuvuzela wa kivyama kuliko hizi za kisheria.
Wakati mwingine kukubali kuwa uko level ya chini ni uungwana pia
 
Mkuu Chakaza , hili la uzee linawezekana maana nimeikata 50 kitambo, naitafuta 60!.

Siku zote humu jf, mimi kosa langu ni moja tuu, na hili nitaingia nalo kaburini.
Kosa lenyewe ni kusema ukweli daima no matter what.

Kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, DPP pekee ndie hutoa Nolle. Hivyo aliye muachia Mbowe ni DPP, huo ukweli wenyewe.
P
Uko sahihi,aliyewaachia Mbowe na wenzake ni DPP, swali langu je kwanini hakuwaachia wiki moja au mwezi mmoja tu baada ya kukamatwa ?
 
Kwa mujibu wa katiba, DPP ni independent, hivyo ni DPP pekee ndie huamua aandike lini Nolle, kwenye kesi yoyote ya jinai, ikiwa mahakama yoyote, na wakati wowote, isipokuwa kabila ya hukumu, na DPP anapotoa Nolle, hawajibiki kutoa sababu zozote kwa yeyote na hakuna mamlaka yoyeto yenye uwezo wa kuhoji!.

Watu humu Leo, ndio wanashangaa kuhusu mamlaka ya DPP, angalia hapa tuliandika lini DPP wa Tanzania: Ni Kihiyo wa Sheria, Msanii au Mbabaishaji?

Tembelea na hapa Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee… na hapa Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua? na hapa Wito kwa DPP: Japo ni Ushauri wa Rais kuwasamehe, Tafadhali tumia Nolle kufuta kesi zao, Makubaliano yawe siri ili wapokelewe na Jamii kama Watu Wema na hapa Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

P
 
Mkuu Chakaza , hili la uzee linawezekana maana nimeikata 50 kitambo, naitafuta 60!.

Siku zote humu jf, mimi kosa langu ni moja tuu, na hili nitaingia nalo kaburini.
Kosa lenyewe ni kusema ukweli daima no matter what.

Kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, DPP pekee ndie hutoa Nolle. Hivyo aliye muachia Mbowe ni DPP, huo ukweli wenyewe.
P
Pole sana Pascal..wanasema nyuki hawaendi pazipo na chavua.....kwa uzoefu wako najua wajua kuwa hapa JF wanachama wengi hufurahia kusikia au kusoma kile wanachopenda wao, ukienda tofauti na wao ni lazima tu ama utaitwa majina au utahalalishwa kuwa ni mwanachama wa chama kile...DPP alivyomuachia huru Mzee Rugemarila haikusemwa kuwa ni maagizo toka Ikulu, DPP alipopeleka mashtaka juu ya Sabaya haikusemwa kuwa ni maagizo ya Ikulu, hata Mbowe ameachiwa huru haiwezi kuwa ni maagizo ya Ikulu, kwa maana hiyo kuna baki na hoja moja tu kuwa Ofisi ya DPP iko HURU na inafanya maamuzi kutokana na taratibu zake!
 
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana

Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki wakasema hatuna mpango wa kuendelea na hii kesi.Jaji akasema sawa nyie si ndie washtaki.

Ingekuwa mahakama inaingiliwa na Serikali jaji Tiganga siku ya kuamua kama kuna kesi au la kama Serikali na mahakama ni kitu kimoja angemwachia Mbowe na wenzie kuwa ushahidi hautoshi hawana kesi ya kujibu

Wale mnaosema Serikali inamiliki mahakama jifunzeni kupitia hii kesi Mahakama imeonyesha kuwa iko huru haiyumbishwi na Serikali muhimili mwingine
Mbona unasema uongo wazi wazi sana
 
Kila mhimili uko huru ya nyoko
 
Mkuu Chakaza , hili la uzee linawezekana maana nimeikata 50 kitambo, naitafuta 60!.

Siku zote humu jf, mimi kosa langu ni moja tuu, na hili nitaingia nalo kaburini.
Kosa lenyewe ni kusema ukweli daima no matter what.

Kwa mujibu wa katiba, sheria, taratibu na kanuni, DPP pekee ndie hutoa Nolle. Hivyo aliye muachia Mbowe ni DPP, huo ukweli wenyewe.
P
Kusema ukweli daima ulianza pale ulipotoka katika kamati ya maadili ya bunge
 
Kwa hiyo ulitaka mahakama ishinike kesi iendelee wakati aliyeileta hiyo hataki kuendelea nayo na washtakiwa hawataki kuendelea nayo

Ulimsikia mbowe na wenzie wakitaka kesi iendelee? Walifurahi tu wangekomaa kusema Sisii tunstaka iendelee mbona hawakusema
Wewe ndiye hautaki kusikia, Kibatala alisema kwamba wao wapo tayari kwa siku hiyo waendelee na utetezi.
 
Kwa mujibu wa katiba, DPP ni independent, hivyo ni DPP pekee ndie huamua aandike lini Nolle, kwenye kesi yoyote ya jinai, ikiwa mahakama yoyote, na wakati wowote, isipokuwa kabila ya hukumu, na DPP anapotoa Nolle, hawajibiki kutoa sababu zozote kwa yeyote na hakuna mamlaka yoyeto yenye uwezo wa kuhoji!.

Watu humu Leo, ndio wanashangaa kuhusu mamlaka ya DPP, angalia hapa tuliandika lini DPP wa Tanzania: Ni Kihiyo wa Sheria, Msanii au Mbabaishaji?

Tembelea na hapa Kumbe DPP kutenda haki kunawezekana! Hongera sana, kazi umeianza vizuri. Sasa haki sio tu inatendeka, inaonekana! Kazi Iendelee… na hapa Ushauri kwa DPP: Kutekeleza nia njema ya Rais Samia, kuona Haki ikitendeka; je, tumchagize DPP kutumia Nolle kufuta kesi zote zinazosuasua? na hapa Wito kwa DPP: Japo ni Ushauri wa Rais kuwasamehe, Tafadhali tumia Nolle kufuta kesi zao, Makubaliano yawe siri ili wapokelewe na Jamii kama Watu Wema na hapa Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

P
Nikisema serikali inamtumia DPP kukomoa watu nitakuwa nakosea?
Unajua kabisa hawa watu hawana hatia unawaweka ndani miaka kdhaa au miezi halafu una ondoa mashtka
"Eeeh Mwenyezi Mungu ninusru kamwe nisije nikawa mwanaCCM"
 
Mahakama hii kesi Jaji Tiganga kaitendea haki Profession yake kutoka mwanzo hadi mwisho
Mahakama imeonyesha credibility ya hali ya juu mno kwa kutokuyumba kwenye hiyo case

Wamejipambanua kama mhimili independent

Sawa
 
Nikisema serikali inamtumia DPP kukomoa watu nitakuwa nakosea?
Tumia past tense, kuwa ilikuwa na sio inatumia, maana ni serikali ile sio serikali hii. Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...
Unajua kabisa hawa watu hawana hatia unawaweka ndani miaka kdhaa au miezi halafu una ondoa mashtka
Hili tumelipigania Sana...
"Eeeh Mwenyezi Mungu ninusru kamwe nisije nikawa mwanaCCM"
CCM has nothing to do with this.
P
 
Back
Top Bottom