Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Tumia past tense, kuwa ilikuwa na sio inatumia, maana ni serikali ile sio serikali hii. Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

Hili tumelipigania Sana...

CCM has nothing to do with this.
P
Ni serikali ile kivipi? Nahitaji unipe elimu japo kiduchu kwa faida yangu mimi binafsi na wengine pia.
 
Ni serikali ile kivipi? Nahitaji unipe elimu japo kiduchu kwa faida yangu mimi binafsi na wengine pia.
Serikali ni kama kiti cha basi, unaposhuka, anakaa mwingine na safari inaendelea. Kila zama na zama zake, awamu ya 5 ilikuwa na mazuri yake na mabaya yake. Sasa imepita imeingia awamu ya 6, kila zama na zama zake.

Hii kesi ni ya awamu iliyotangulia, ndio maana Mama kaifuta.
P
 
Huyu jamaa anapambania sana viti maalumu sema atapata maadam mama yupo atamuona
 
Serikali ni kama kiti cha basi, unaposhuka, anakaa mwingine na safari inaendelea. Kila zama na zama zake, awamu ya 5 ilikuwa na mazuri yake na mabaya yake. Sasa imepita imeingia awamu ya 6, kila zama na zama zake.

Hii kesi ni ya awamu iliyotangulia, ndio maana Mama kaifuta.
P
Inamaana Rais SSH aliposema Mbowe ni gaidi alisema kwa niaba ya serikali iliyopita serikali yake haihusiki? Endelea kunipa elimu usichoke tafadhali.
 
Kwani yeye hana akili anafanyia kazi mambo ya kusikia?
Kuna vitu vinavyohitaji kutumia akili, na kuna vitu, unapewa na trusted sources, huhitaji kutumia akili, ndio maana ana wasaidizi.

Hata wewe wife wako akikupikia nyama ya kondoo , ukaambiwa ni ng'ombe, you just trust ni ng'ombe, mpaka ule, na kama unajua tofauti ya nyama ya ng'ombe na kondoo ndipo utabaini umedanganywa.

Kwa kauli Ile ya Mama siku Ile ya mahojiano na Kikeke kuhusu hii kesi, tungekuwa na mawakili wa utetezi wenye uwezo mkubwa, wangeibananisha serikali, DPP angeleta Nolle on day two!.

Na unaweza kukuta hata aliyemdanganya Mama, hakufanywa chochote!.

Mkuu Pascal nilikuwa nakuheshimu sn those days now nakuona huna tofauti na kamanda asiyechoka hakuna cha maana unawaza, je tuna mahakama huru? hakuna watu walipambana kama akina Kibatala walifanya kazi nzuri sn lakini hatukuwa na mahakama, hivi kweli unaenda kumfungulia mtu kesi kubwa ya ugaidi kwa hear say una akili timamu kisa eti umeambiwa na sijui na Urio? ushahidi wa jamhuri kulikuwa na ushahidi wa kuweza kumfunga mtu? akina Kibatala walipoibua issue ya Rais Jaji hakusema kuwa Rais asitajwe mahakamani? siku hizi nakudharau sn brother nakuona mtu wa hovyo kabisa, hatuna mahakama, hatuna polisi wala TISS yote ni matawi makuu ya CCM.
 
Kufutwa kesi ya Mbowe ni ushahidi kuwa kila mhimili uko huru na imara hauingiliwi na mhimili mwingine

Jaji Tiganga alisimama kidete kama mhimili huru kusema Mbowe na wenzie wana kesi ya kujibu waanze kujitetea kutokana ushahidi uliopatikana

Mhimili wa Serikali ukiwa huru ambao ndio washitaki wakasema hatuna mpango wa kuendelea na hii kesi.Jaji akasema sawa nyie si ndie washtaki.

Ingekuwa mahakama inaingiliwa na Serikali jaji Tiganga siku ya kuamua kama kuna kesi au la kama Serikali na mahakama ni kitu kimoja angemwachia Mbowe na wenzie kuwa ushahidi hautoshi hawana kesi ya kujibu

Wale mnaosema Serikali inamiliki mahakama jifunzeni kupitia hii kesi Mahakama imeonyesha kuwa iko huru haiyumbishwi na Serikali muhimili mwingine
Umeandika Pumbu Tupu
 
Serikali ni kama kiti cha basi, unaposhuka, anakaa mwingine na safari inaendelea. Kila zama na zama zake, awamu ya 5 ilikuwa na mazuri yake na mabaya yake. Sasa imepita imeingia awamu ya 6, kila zama na zama zake.

Hii kesi ni ya awamu iliyotangulia, ndio maana Mama kaifuta.
P
Huyo huyo alisema Mbowe awe na adabu sijui nini, Huyu bibi ni mtu katili sna kupita kiasi muulize Ndugai, ukigusa maslahi yake anakumaliza mapema sema amejificha kwenye dini lakini ni mtu hatari kupita kiasi, 2025 chukua fomu ya u-Rais kupitia chama pendwa kama hautomfuata Ben Saanane mapema sn kabla hata ya kurudisha fomu.
 
Yes alisema kwa mujibu watoa habari wake, walimweleza Mama kuwa washirika wake waliisha hukumiwa vifungo, yeye alitoroka na sasa ndio amerejea .
P
Kwa maana nyingine DPP kaondoa mashtaka baada ya kugundua kwamba serikali iliyopita ilikuwa inabambikia watu kesi,Je huyu aliyekuwa anaambiwa Mbowe alitoroka hakuwa kiongozi wa serikali iliyopita serikali bambikizi?
 
Back
Top Bottom