Recent content by NSAGHA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Arusha

    Pole inaonekana umetumiwa picha, uliza stand ya hice Arusha iko wapi na inaitwaje, usikariri
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Kampeni Arusha

    Kuja kutuvizia stand ya kilombero na kusababisha usumbufu baada ya kufunga gate la kutokea na kutufanya tuonekana tuko kwenye mkutano wake, ni akili ndogo aisee tuko kwenye mishe zetu mnataka kututumia kama wahudhuriaji
  3. N

    JamiiForums Tanzania lowassa atakuwa rais wa tz

    MUSSAAllan au mwingine? Si mmemkata?
  4. N

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya press conference kesho

    Lizaboni ulisema lowasa hawezi kuhamia ukawa maana kazuiwa na rafiki zake, VP bado ndiyo usahihi? Au umeeomba radhi?
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaweweseka

    Unaweza kuthibitisha kuwa sugu hawezi uoongozi? Au kutibitisha tukio hilo limeratibiwa na yeye? Kipi sahihi za kutengenezwa au vijana walitumwa?
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaweweseka

    Dkt Kilembwe Naomba ufafanuzi ziara za mikoani amekuwa akienda sambamba na viongozi wale, ilipofika zamu ya Arusha na moshi kagawa makundi mawili moja lake na moja la mwenyekiti, la kwake linaenda kusini lkn la mama linakuja Arusha, Why?? Au baada ya zomeazomea alihisi na Arusha atazomewa?
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaweweseka

    Dkt Kilembwe Kwanini hakushuka? Maana hv karibuni tulimuona akigawa kadi hadi kwenye malori akipanda, pili wakati wenzake wameshuka ye aliendelea na safari? Kana alikuwepo sauti za kumzomea zinawahusu walioshuka tu lakini walio ndani ya gari haziwahusu? Mwisho Siasa ni changamoto siyo mara zote...
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaweweseka

    Tumia fursa kama changamoto, kama sugu hawezi kuongoza 25 October hiyo kagombee jimbo la mbeya maana unauwezo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Bvr kit leo zimeongezwa, wale wauza vitumbua wako wapi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania NEC Wanapaswa kumpongeza Mbunge wa Arusha Mjini kuhamasisha Uandikishaji

    Njoo ununue nyie nitawafanyia discount
  11. N

    JamiiForums Tanzania NEC Wanapaswa kumpongeza Mbunge wa Arusha Mjini kuhamasisha Uandikishaji

    Wale mnaolopoka, mkauze vitumbua! Upuuzi wa Lema ndio umasababisha BVR Kit kuongezwa, hapa Osunyai s/m zilikuwa 3 sasa ziko 10! Ndio utajua malopokaji yanavyohaha,.
  12. N

    JamiiForums Tanzania NEC Wanapaswa kumpongeza Mbunge wa Arusha Mjini kuhamasisha Uandikishaji

    Ndio shida ya wapika vitumbua na wacheza ngoma, hawajui kazi ya vyama vya siasa na mbunge! Mtu anayehimiza watu kujiandikisha anayo hofu ya kushindwa? Uwezo wa kufikili wa wacheza ngoma ni wa kutiliwa mashaka
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Kauze vitumbua kwanza, mida ndiyo hii
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Kapike vitumbua na chapati muda tayari tuachie bangi na viroba lkn maendeleo yapo, nyie endeleeni kucheza ngoma
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, aamua kuvuruga uandikishaji, Dr. Slaa aingilia kati Kuokoa jahazi

    Usishangae napotumika sasa
Back
Top Bottom