NYONGEZA "A"
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni Moja.
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
(3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga,magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5)...
Unataka machine za nyumbani au kwa biashara? pili ni machine pekee au na complete laundry and dry cleaner units.
kupiga pasi na machine za kusafishia maji?
States and territories with same-sex marriage
State or territory
Population[125]
Date of Enactment/Ruling
Date Effective
Legalization method
Details
Alaska
736,732
02014-10-12-0000October 12, 2014
02014-10-17-0000October 17, 2014
Federal court decision
U.S. District Court for...
Huyo Bwana Chipegwa Msanjila ni Jirani yangu na tulifanya naye kazi Airport. Hajawahi kuwa mjumbe wa mkutano wowote wa CDM. Kwa sasa mwacheni atumie haki yake ya kidemokrasia.
Ni vizuri mleta mada ukawa mkweli kuweka detail zote. Alichaguliwa lini, anawakilisha kundi gani, kutoka kanda gani na...
Hakuna Pesa ya Serikali inayofadhili MoU kati ya Shule na Hospitali ya madhehebu ya Kikristo na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Masharti ya Misaada ndio yaliyotuponza. Pesa zinazoenda kufadhili MOU zinatoka kwa wafadhili ambao waliweka sharti za serikali kutotaifisha mashule na...
Who can were the shoes on LKY in current Africa??
Singapore - Lee Kuan Yew, the founder of modern-day Singapore, has died. He was 91.
The former prime minister, who had been hospitalised in intensive care for severe pneumonia since early February, died early on Monday morning in Singapore...
Uhuru wa imani ya dini
40.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani yake au kutokuwa na imani na dini.
(2) Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari...
Ukitaka kueleweka punguza jazba na uelezee mafanikio ya waziri katika wizara kitakwimu.
Kuondoka kwa Prof Muhongo sio kwa sababu za perfomances ila ni ubadhirifu uliotokea wizarani akiwa waziri.
Naomba watanzania wenzangu tujifunze kuwa objective na kuacha ushabiki/upendeleo/uonevu kwa sababu...
Kuna madudu mengi sana serikalini. Je ni vigezo gani vilitumika kutoa kandarasi kwa mkono advocates? ilitangazwa au aliteuliwa tu? Hii wizara inahitaji clean up ya hali ya juu.
Uchunguzi mwingine unahitajika. Tanesco na Wizara walikuwa wapi mpaka gharama za mkono advocates zikafikia 60+ billions? Je mkataba wa kumpa kazi mkono ulikuwa unazumgumziaje kuhusu malipo? Huu ni uzembe mwingine wa wizara na Tanesco.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.