Recent content by npm

  1. N

    JamiiForums Tanzania Assistant – Accounts Payable at School of St Jude July 2025

    NAfikiri pana shida mahali, kuanzia january hadi December wao wanatangaza nafasi za kazi tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    Nipo Salasala wilaya ya kinondoni kwa anayehitaji mwalimu karibu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Natengeneza juisi za matunda fresh jumla na rejareja

    Yes, kwa wateja wa jumla..au unaweka oda unaipitia nyumbani..karibu sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natengeneza juisi za matunda fresh jumla na rejareja

    Karibu sana.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natengeneza juisi za matunda fresh jumla na rejareja

    Ni mm yes,Asante na karibu sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Natengeneza juisi za matunda fresh jumla na rejareja

    Amen karibu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natengeneza juisi za matunda fresh jumla na rejareja

    Karibu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natengeneza juisi za matunda fresh jumla na rejareja

    Habari, Natengeneza na kuuza juisi za matunda mbalimbali kulingana na mahitaji ya mteja, mfano embe, passion, parachichi, karoti, nk, kwa bei ya jumla kwa wale wenye vibanda vya chips, migahawa au kwa kunywa nyumbani. Bado sina ofisi, natengenezea nyumbani. Nipo Kinondoni Salasala, bei...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Professional: education Experience: 3years in teaching primary level Level: degree Location: Dsm Status: job seeker
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri kwa kliniki ya wajawazito na gharama zake zipoje?

    Kitengule itoe hamna kitu pale wanafunzi tu ndo wamejaa..best ni rabininsia Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania I am looking for a Housemaid job

    Mtafute Joyce kiria ana project ya wadada center,kwa watu wenye uzoefu mnalipwa ata laki 3, ingia Instagram andika wadada center utaona post Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili jimbo la Kigamboni na Ubungo-NEC

    Temeke na mbagala kesho uwanja wa mkapa,kwa ilala sjajua
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya part time

    Jamani nilikosea Kuandika naona kama watu wanafika mbali ambapo hakustaili..... Samahani kwa niliowakwaza ..tuishie apa usiku mwema
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya part time

    Nipo dar
  15. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya part time

    Habari... Mimi ni mwanafunzi wa chuo, Natafuta kazi ya part time kwa siku za weekend ama siku za kawaida kuanzia jioni. Kazi yoyote mfano kuuza duka, super market n.k Nipo Dar Natanguliza shukrani zangu asanteni.
Back
Top Bottom