Wakuu hbr za kaz
Niko mbele yenu tena kuomba ushauri juu ya hii ndoa yangu, maana inanipa wakati mgumu mno.
Mm ni mama wa watoto wawili, nimeolewa miaka8 iliyopita, niliolewa nikiwa miaka 18 na kabla cjaolewa nilikua na boyfriend wangu, tulishindwana kisa dini kwakweli tulipendana na yule...