Recent content by Noti mpya tz

  1. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wa TEC, waomba kukutana na rais Magufuli

    Waendelee kumuombea ili atubu
  2. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Mohammed Dewji kurudi uraiani kamwe hauwezi kuwaacha salama Mambosasa, Sirro, Robert Boaz na mzee Gulam Dewji

    Mimi swali langu lipo kwenye moto. kwamba watekaji walijaribu kulichoma moto gari lakini likakataa kuwa na polisi walikuta madumu ya petroli. Je walinzi hawakuuona moto huo?
  3. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Wakuu, gazeti la Jamhuri limeripoti kuwa Mo alikuwa/ana micro chip mwilini ambayo imerekodi tukio zima la kutekwa kwake na kupeleka report kwenye server iliyoko Marekani. Kama ni kweli basi tusubiri ya Jamal Khashoggi, Uturuki na Saud Arabia.
  4. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Nani ana habari za kabila hili la watembea uchi

    Kabila la Bodi nchini Ethiopia. Wanaume huwa wana kipindi cha kushindana nani ni handsome kuliko wote. U handsome hutafasiriwa kwa unene ma kitambi. hivyo wanaume wanaoshiriki shindano hutunzwa sehemu maalamu kwa muda wa miezi sita au zaidi wakila saana na kunywa zaidi maziwa na damu ili...
  5. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Je, uhuru wa kweli wa zanzibar ni upi; Mwaka 1963 au 1964?

    Ufafanuzi toka GT wa JF. Baada ya mapinduzi ya 1963 Zanzibar iliendelea kuwa huru? 1. Nani mkuu wa majeshi kwa sasa nchini Zanzibar? 3. nani Waziri wao wa mambo ya ndani kwa sasa? 4. Nitajie balozi mmoja anaeiwakilisha nchi ya Zanzibar nje ya nchi.
  6. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wamekwamisha "kesi" (mchakato) wa Nyerere kuwa "Mtakatifu".

    Mchakato kuhusu kumtangaza mtakatifu Julius Nyerere ulizinduliwa na Jimbo Katoliki la Musoma mwaka 2006. Je, umefikia wapi? Jibu la swali hili nisentensi moja tu kama tutakavyoona.“Mchakato” wa utakatifu ni jambo la kihistoria, hivyo unaeleweka kwa kuieleza historia yake. Ukristo ni dini...
  7. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Julius Nyerere International airport wachafuliwa kimataifa

    kwa hiyo kwenye maelezo yao yote wewe umeona la kunyimwa visa tu? what a shame
  8. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Tunapoadhimisha kumbukizi ya kufariki kwa baba wa Taifa, Tufahamu haya!

    Maliza stori yote basi hiyo kaka
  9. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    Hivi wabunge viti maalum hawaoni hizo juhudi? Natabiri kuwa baada ya bunge hili kuvunjwa kwa ajili ya uchaguzi nao wataunga mkono maana they will have nothing to loose.
  10. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?

    Kwa hiyo Mayalla unatutaka tuanze kutamka kuwa serikali imeshindwa tunaisadia? Usituchonganishe na serikali. Acha waboronge kabisa mpaka waombe poo Kama huyu mtu aliyezungumzwa hapa ni Lissu, halafu ni kweli Lissu yamekuja kumtokea mambo mabaya, inawezekana kabisa, aliyetoa kauli hii...
  11. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Nchi ipo salama, asitokee mtu akataka kuonesha wawekezaji kwamba nchini hakuna amani na usalama

    Vipi ameongelea issue ya Alphonce Mawazo na Tundu Lussu?
  12. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Nchi ipo salama, asitokee mtu akataka kuonesha wawekezaji kwamba nchini hakuna amani na usalama

    Kwa hiyo amefuta ile kauli ya kuwa wengine wanapotea kwenda kutafuta maisha? Kwa hiyo anadhani wawekezaji wanategemea taarifa toka kwa watanzania?
  13. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Kwanini nguvu kubwa inayotumika kumtafuta "Mo" isitumike kuwatafuta Ben, Azory na waliotaka kumuua Lissu?

    Kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar "kutekwa Mo ni tukio jipya na la aina yake" ina logic kubwa kama itafafanuliwa alimaanisha nini? Kihisia; kila mtu anaweza kuitafasiri kwa jinsi anavyofikiri lakini.... 1. Yawezekana matukio ya nyuma ya watu kutekwa mchongo wote alikuwa anaujua na hivyo yalikuwa ya...
  14. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Magufuli walimpotosha, kumbe nahodha wa MV Nyerere hakuwa ‘deiwaka’

    ebu nielimisheni hapa. Ina maana mhandisi hajali chombo chake kinabeba uzito gani, kazi yake ni kuangalia kama kinaweza kutoka na kufika tu? What if kikizidiwa na mizigo is he not concerned? Huyu mhandisi bado ahojiwe vizuri si ajabu he was benefiting from the tragedy.
  15. Noti mpya tz

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally: Hoja ya kudai Katiba Mpya haitakufa hadi tumeipata

    hii video ni ya zamani sasa hivi kasogezwa mezani hawezi kuyasema haya
Back
Top Bottom