Uko
Kweli aisee! Dunia imehamia kwenye umeme wa gas na solar hata magar na mitambo pia vinatumia umeme! Uarabuni wenyewe wameanza kuwekeza kwenye utalii! Rasimali za kweli ni technology tu, na bila kuwekeza kwenye research na mabadiliko ya mfumo wa elimu hatuwez toboa! Mbuga za...
Yule dogo hata ukimwangalia huwa hayuko serious,hata game ilivyokuwa inaendelea yani huoni ile amsha amsha ya golikeeper,ukiangalia alivyoruka hata hakunyoosha mikono! Pale yanga kuna wachezaji wazawa wameridhika sana na wanabebwa kwa sababu walitufaa kipindi kigumu na pia huruma ya hersi ila...
We unaamini uamuzi wowote wa bodi ya ligi ni sawa? Unaamini hakuna chombo,taratibu,miongozo,kanuni zinazoiongoza bodi ya ligi! Yani hata bodi ya ligi ikisema bingwa wa nbc ni kengold utaona ni sawa kisa ni bold ya ligi imesema
Na bodi ya ligi wamelijua hili kwamba yanga kuna watu wa serikali wengi na pia hersi ana interest za kisiasa lazima atashinikizwa na akina mkuchika,mavunde, mwigulu akubali mechi irudiwe! Hana uwezo wa kukataa ndo maana ameshindwa kupost chochote! Wenzake wakamuwah kuonyesha msimamo wao akina...
Ukiiangalia kwa jicho positive,inamsaidia yule mzee kupata dili za biashara zake,tena hawa wasemaji wangekuwa wajanja kupitia hizi club wangepiga sana hela
Kwa kikosi cha simba na jinsi wanavyocheza,na aina ya matokeo anayoyapata mara penalty,waamuzi kuwabeba! Ikitokea akachukua ubingwa ntaanza kuhisi bingwa huwa anapangwa na kuna uwezekano hizi mechi zinatumika kucontrol jamii! Labda sasa ni zamu ya simba awe bingwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.