Recent content by norynkei

  1. N

    JamiiForums Vyakula vya supermarket vina changamoto gani?

    hivi kwa mtu anaenunua bidhaa kama nyanya,vitunguu,karoti n.k. kwenye supermarket huwa anapata changamoto gani???? maana kuna siku nilinunua unga wa muhogo supermarket na ulikuwa na mchanga balaa. na ukiangalia hizi supermarket ndo zinapata wageni wa nje zaidi kuliko watanzania. sasa tutaonekana...
  2. N

    JamiiForums Radio Maria Tanzania tengenezeni vitega uchumi

    Sio kwamba kila saa kuna matangazo ya michango, ni kwamba muda unaowasha redio yako kuisikiliza Radio Maria ndio unakuta ni kipindi cha michango. Vipindi vya kujenga roho vipo kila siku.... Tofautisha kauli mpendwa katika Kristo. Hakuna mtu anaelazimishwa kutoa mchango. watu wanatoa kwa mapenzi...
Back
Top Bottom