Recent content by Noriega Jr

  1. Noriega Jr

    Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

    Mke wa komba mpaka sasa anadai pesa iwe nyinyi? Hivi kweli utoke nyumbani Kwako kuita mkutano huo waandishi wa habari kisa kukanusa tu kulipwa au kutolipwa, nani kalipia huo mkutano wa wana habari? Naambiwa TV moja ni Laki na nusu radio 1 elfu 50 malipo yao
  2. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    Nilikuwa sijaingia hapa miezi mkuu, njia nyingine pale iwe guest house, dah imani inagoma
  3. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    Kote kumekaba napunguza nyingine, nimalizie nyingine
  4. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    yes mkuu nilistop kuuza kipindi nikaendelea na kumalizia linta na vingine,naona mpango wa kumalizia tena nimestop ndio nimeiweka sokoni upya
  5. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    wazee mwenye m18 aje tufanye biashara
  6. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    yes mkuu ukubwa ni 20x20 sqm 400
  7. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    mkuu jamaa kabana vibaya,mpaka nimefuta mradi wenyewe ndio maana nauza
  8. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    Mkuu dodoma hapakamatiki hivi sasa
  9. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    Mkuu tuelekeze nasisi tukapige
  10. Noriega Jr

    Hotel ya kifahari kwa ajili ya mbwa yafunguliwa Japan

    Huko Tokyo Japan, kumeanzishwa hotel ya kifahari yenye vyumba, vitanda na vito vya dhahabu kwa ajili ya mapumziko ya Mbwa. Hotel hiyo ambayo inamilikiwa na Tajiri Okazaki nyamaota , ina chakula kizuri ikiwemo rost nyama, mabafu ya kuogea mbwa hao pamoja na sehemu ya kupata Masaji ya nguvu ili...
  11. Noriega Jr

    Nauza nyumba haijakamilika iko kwenye lenta eneo la Kibaha

    Nimeshusha bei mpaka 20 m muhitaji tuwasiliane
Back
Top Bottom