Recent content by nop

  1. N

    Naibu Katibu Mkuu Salumu Mwalimu wakishirikiana na BAVICHA kushambulia Iringa leo

    Kamanda Mh Peter Msigwa tunakutegemea Sana utuongezee Majembe ya kuja kuwalima mafisadi hapo oktoba na kuwachimbulia mbali. Wewe tayari ni waziri wa maliasili
  2. N

    Mwenye ushahidi wa dhahiri juu ya ufisadi wa Lowassa aweke hapa hadharani! Tuache porojo!

    Muda wa kampeni kila kitu kitawekwa hadharani. Kwa sasa watapata mbinu za kuwaadaa wananchi.
  3. N

    Dk. Slaa: Watanzania mwisho wa mateso ni Oktoba mwaka huu

    Mwaka huu lazima kieleweke. Hatuwezi kuachia nchi mashetani
  4. N

    Dk. Slaa: Watanzania mwisho wa mateso ni Oktoba mwaka huu

    Tumechoka sasa ni zamu ya ccm kuwa wapinzani.
  5. N

    Tamko la BAVICHA: Yalalamikia BVR, mikopo na wanafunzi

    Ukitaka kuwatwala watu kwa muda mrefu ktk hali ya udhalimu lazima mfumo wa elimu uvurugwe. Ndicho wafanyacho ccm na serikali yake. Wanawavuruga wasomi vyuoni hasa kupitia bodi ya mikopo.
  6. N

    Tamko la BAVICHA: Yalalamikia BVR, mikopo na wanafunzi

    Nguvu ya BAVICHA lazima isimamie maslahi ya wengi
  7. N

    M/kiti wa BAWACHA Mh.Halima Mdee kuisambaratisha CCM

    ccm ni kama haipo Kimebakia kivuli choke tu
  8. N

    Live Updates: Kamanda Mbowe ndani Ukerewe Mafunzo ya uzalendo kwa Vijana

    Foward ever backward never. Kamanda mbowe tuko pamoja mpaka kieleweke.
  9. N

    Mkuu wa Mkoa wa Dar walipe kwanza walimu madeni yao ndio uwaite uwanja wa Taifa

    Walimu mabwege waende. Tumechoka na nidhamu ya woga......
  10. N

    M/kiti wa BAWACHA Mh.Halima Mdee kuisambaratisha CCM

    Dalili za ccm kufa ziko wazi
  11. N

    Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

    Dhambi ya usaliti ni sawa na virusi vya ukimwi mpaka flash damu. Vivo hivyo ukombozi wa kisiasa lazima msaliti Zzk aondolewe ktk siasa..... Siku zake huyo msaliti zinahesabika
  12. N

    Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

    Mungu Ibariki Chadema na wote wenye mapenzi mema na Tanzania
  13. N

    Mkakati wa 'kuua' Red Brigade, huku Green Guard wakitamba huu hapa...

    Ccm wanatapatapa. Hawama lolote. Tutapambana nao kwa kila namnaHao ni wahuni wasio na maana. Safari hii hatutawavumilia nguvu ya umma itatumika sawasawa
  14. N

    Mkakati wa 'kuua' Red Brigade, huku Green Guard wakitamba huu hapa...

    penye changamoto nyingi NDIPO penye mAfanikio makubwa hakika tuashinda. Twatakiwa kujizatiti
  15. N

    Maaskofu wameitendea haki Katiba mpya - Warioba

    Mapambano kila kona ushindi wanukia
Back
Top Bottom