Recent content by nonoly

  1. N

    JamiiForums Tanzania Canter tani 3.5 inaweza kufanya nini?

    Ilitakiwa ifanye kazi ya kuchukua bidhaa viwandani kuleta madukani lakn mtaji wetu umeyumba kdg
  2. N

    JamiiForums Tanzania Canter tani 3.5 inaweza kufanya nini?

    Ahsante sana mkuu nitazingatia ushaur wako, ngoja nifanye utafiti kidogo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Canter tani 3.5 inaweza kufanya nini?

    Unaweka ng'ombe kwenye gar? Cjakupata vzr mkuu
  4. N

    JamiiForums Tanzania Canter tani 3.5 inaweza kufanya nini?

    Wadau habar za asubuhi, Mimi ni kijana Nina miaka 23, nimenunua canter ya ton 3.5 Je unaweza kufanya shughuli gani ya kudumu tofauti na deiwaka, nipo Kigamboni, Dar-es-salaam! Naombeni ushauri
  5. N

    JamiiForums Tanzania Million 7, mawazo ya biashara

    Tafuta sehemu iliochangamka uza magodoro, yanalipa na hayaumizi kichwa
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 4

    Mkuu kimsingi mimi ni mwanafunzi kama ww, na nimeshawahi kujaribu kugusa baadhi ya biashara ikiwemo kibanda cha chipx ambapo uendeshaji wake unauhuiano mkubwa na mgahawa, mind you rafik yangu, pesa ya mkopo sio ya kuanzishia biashara risk km ya mgahawa ukizingatia bado unasoma, biashara ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Karibu Tawassal vinywaji

    Sasa huna haja ya kuwa na kamati kuuubwa ya vinywaji.. Tawassal Vinywaji ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vinywaji vyote vya jumla vya makampuni mbalimbali Tanzania km Pepsi, Cocacola, Azam, MeTL, TBL n.k Huduma zetu -Tunashauri ni vinywaji vya aina gani kutumika kwa sherehe ya aina gani...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuanzisha kampuni

    Wakuu habari za mida hii.. Naomba kujua kama naweza kuanzisha kampuni ya kuuza vinywaji vya jumla.. yaani kuanzisha kampuni ya kuuza bidhaa za kampuni nyingine lakini kampuni tofauti tofaut kama Azam, Coca, Pepsi, MeTL n.k
Back
Top Bottom