Million 7, mawazo ya biashara

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,403
Salama wakuu,

Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
 
Apo kachukue shamba ulime tu bro hakuna kazi ingine... miaka mitano ushaweka fuso barabarani
 
Salama wakuu,

Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
Kaka njoo tufanye biashara huku chunya, ya usagishaji wa mawe ya dhahabu, hautojuta kuingia kwenye biashara hii. Nipm tuongee kwa kirefu
 
Salama wakuu,

Kwa million 7 Dar, unaweza kufanya biashara gani?Mdogo wangu muda mrefu hajapata ajira, hivyo nimeona ni vyema nimpe kidogo ili anishughulishe.Ni jinsia ya kike.
NIKUTANISHE NAYE HUYO MDOGO WAKE NTAFUNDISHA KAZI ILA FAIDA TUTAKUWA TUNAGAWANA MAANA NAMIE NATAFTA CAPITAL
 
Back
Top Bottom