Naamini Tundu Lisu ni mtu sahihi kwa sasa, kwa sababu Diplomasia ya Mbowe haiwezi tena kuisukuma CHADEMA mbele. Kazi waliofanya ya kukijenga chama nchi nzima, inahitaji mzizimo mpya wa nguvu ya umma kudai haki. Muda wa mijadala umekwisha, na kwa hakika Mbowe hawezi kuleta mzizimo wa aina ya...
Ulikuwa wakati sahihi kwa Mbowe kuachia uenyekiti na kuwa mzee mshauri sasa. Hii nafasi imepotea, na sasa tutashuhudia kuporomoka kwa CDM kwenda mbele. It is very sad.
Haki haiji ila kwa ncha ya upanga. Mnazidi kubembeleza sana. Kama mtaendelea hivi itawachukua miaka 500 kuleta mabadiliko ya kweli. Huu sasa ni ujinga kuamini kuwa taratibu zilezile zitaleta mabadiliko ya kweli.
Miongoni mwa sababu ni pamoja na ile iliomtengua Tido Mhando TBC. Mashitika ya umma hayawezi kutengeneza faida, hata magereza haiwezi kulisha wafungwa, japo haiwalipi mishahara, na inawapa mlo mmoja na nusu kwa siku.
Wamepanga sana nani awe mrithi. Ila kila zama hakuna liyefanikiwa kutinga ikulu. Mwinyi aliingia ndivyo sivyo, akaletwa Mkapa kwa Mbeleko ya Nyerere, Sumaye hakuamini JK alivyoingia, Magufuli kikawa kama kifurushi kutoka juu, Samia wakajiuliza kumbe katiba ina tobo kubwa kiasi hiki? Tujiandae!
Usiendeshwe na mihemuko ya kingino. Wanawake wengi wazuri hawakuwahi kuolewa. Uzuri wa ngozi sio uzuri na utamu wa nyama, wala upole wa mnyama husika. Tulia tafuta mwanamke mwenye nidhamu, heshima na busara, utaishi maisha marefu. Zaidi utajenga uchumi wako na kuchangia uchumi wa taifa.
Upuuzi kutoka kwa mfaodika wa upuuzi. Wamarekani wanaamini ubepari achilia mbali uliberali. Ujamaa ulifanikiwa wapi? Wachina wenyewe uliwashinda. Rubish at its scale
Uamuzi wa kumuondoa mwl mkuu kwenye nafasi yake ulikuwa uamuzi wa kijinga na kipumbavu. Hivi ungemuuliza huyo Mkenda, wale watoto walivyokuwa wanacheza kwa miondoko ile, walifundishwa siku hiyo? Utandawazi ndivyo ulivyo na hauna nafasi kumsubiri mpumbavu mmoja hadi akae sawa.
Mwl arudishwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.