Recent content by Nonga kenyatta

  1. Nonga kenyatta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku-update android ya simu

    Haija rootiwa. Kuna maelezo nilipata yanasema s7 edge ya 2016, Samsung walishazitoa kwenye update za android. Kwaio hazipati masahihisho ya android. Kama kuna namna ya kufanya ili nipate kui-update naomba maelezo. Shukrani.
  2. Nonga kenyatta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku-update android ya simu

    Asante mkuu, unaweza nielekeza jinsi ya ku-update to android 8 maana hii simu haina sehemu ya kufanyia update. Shukrani
  3. Nonga kenyatta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa Ku-update android ya simu

    Habari... Naomba maelekezo kuhusu namna ya ku-update android ya simu yangu. Simu yangu ni samsung S7 Edge ya 2016 ina android version 6.0.1 Shukrani. Chief-Mkwawa
  4. Nonga kenyatta

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Msaada jinsi ya ku-update android

    Xxxxx Xvvbxxc #^*>_: $_^
  5. Nonga kenyatta

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Growth Hacking

    Big up!
Back
Top Bottom