hata kama kap[ost milion ni yeye jamani achen tabia za kiswahili mbona hatupendani wewe kama hutaki acha lazima kwani watu mmekaa kusubiri mtu kapost kitu mnacritisize mnakera sana
hivi watu wengine huwa mkoje jaman mbona mnakuwa na tabia za kiswahili sana mwenzio kapost tangazo kama huitaj acha kama upo hapa kwa ajili ya kucritisize watu bora ufunge tu mdomo hili ni soko huru kila mtu anapost kitu anachotaka hujalazimishwa kununua embu badilikeni bwana khaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.