Recent content by Nombo Tobias.

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante kwa kaz yenu nzuri. Swali langu ni kuwa, mgonjwa anapoambiwa alete damu(watu wa kuchangia damu) damu anayoongezewa mgonjwa inakuwa ni ile iliyoletwa na watu wa mgonjwa? Nina mgonjwa katika hospital ya litembo iliyoko wilayan mbinga mkoa wa ruvuma, mgonjwa wangu amefanyiwa upasuaj...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni, anafanya biashara ya Mahindi

    Ukiona huamin kama uchaw upo ujue huamini kama mungu yupo pia
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni, anafanya biashara ya Mahindi

    Gunia za huku kilo 100 mpaka 130. Kwa sasa ananunua kwa elf 90 gunia moja. Gunia hilo hill anauza kwa elf 45. Adai lengo ni kusaidia wananchi. Mim batokea kwenye kijij hicho. Kwa kifup maajabu yapo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa ajabu aibuka huko Ruvuma, Bilionea Barnaba Nyoni, anafanya biashara ya Mahindi

    Malipo yameaza Jana , sahiz ananunua gunia kwa elf 90.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai anaweza kushitakiwa Mahakamani ?

    kwa tz haiwezekan, si unajua tena siasa zaid
  6. N

    JamiiForums Tanzania UHAMISHO

    Ni kweli uhamisho wa watumishi wa umma umefutwa hapa nchini tz? tangu rais aingie madarakan nimeona stahiki ya kuhama inapuuzwa ilihali watu wanamatatizo ya kiafya nk.
Back
Top Bottom