Recent content by Nombo de classic

  1. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Karibu sana mdau ujipatie chombo safi kutoka OASIS urahisishe mishe mishe 0685665582
  2. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme za RAVOX:suluhisho la Ghalama za mafuta kwa boda boda

    Je, unatafuta pikipiki bora ya umeme Dar es Salaam na Tanzania kwaujumla kwa ajili ya kurahisisha huduma za delivery? Kama wewe ni mfanyabiashara, unajua kuwa kikwazo kikubwa cha faida kwa sasa ni kupanda kwa bei ya petroli. Lakini je, unajua kuwa kuna pikipiki inayookoa gharama za service na...
  3. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Kiuhalisia hakuna gari la umeme la 4.5M labda toy la watoto. Ukweli mchungu huwezi kupata pikipiki ya umeme yenye mid-motor Tanzania kwa Tsh 4.5M Tanzania tofauti na #Oasispayless, hiyo 4.5M ni uwekezaji ambao utakulipa mara dufu ndani ya mwaka mmoja tu.
  4. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Ndio inachaji simu boss na redio ipo.
  5. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Karibu sana mdau ujipatie chombo safi kutoka #OASISPAYLESS
  6. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Ni kweli kabisa mkuu, lakini haiondoi ukweli kwamba kuna watu wanatumia zaidi ya 450k kwenye mafuta kwa mwezi, hata hiyo 60k pia nayo gharama ambayo unaweza kuiokoa. Karibu sana mdau ujipatie chombo.
  7. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaomba maombi au dua ikiwa Mungu ni mwenye kujua yote(Omniscience) na kupanga yote?

    Mipango ya Mungu ni potential tu na si reality ya Lazima Waza ulimwengu kama Bahari. Mungu amepanga bahari iwe na maji, mawimbi, na upepo (Hiyo ndiyo mipango yake). Usipojitune (usipoweka tanga la mashua yako vizuri), upepo utabaki pale pale, lakini wewe hutaenda popote. Mipango yake...
  8. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaomba maombi au dua ikiwa Mungu ni mwenye kujua yote(Omniscience) na kupanga yote?

    Mungu ni Frequency (source code) maombi ni kama kujitune kwenye resonant frequency........ Ova.
  9. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Mkuu, nakushukuru kwa hoja yako. Ni kweli kabisa, kama unachukua pikipiki ya umeme ya "kawaida" na kutaka kuipandisha milima ya Mbeya au kubeba magunia ya viazi, utaona mzigo mzito. Lakini tatizo siyo ''Umeme'', tatizo ni Aina ya Mota (Motor Type) inayotumika. Watu wengi wanashindwa kutofautisha...
  10. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Unaweza kuchajisha home mkuu, tunakupa na chaja yake kabisa, na inajaa ndani ya masaa mawili tu.
  11. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

    Ni kweli kabisa mdau, Ndomaana sisi kama #OasispaylessEnergyTanzania tukaja na suluhisho kwa bodaboda, nalo ni pikipiki za umeme ambazo zinaokoa pesa ambayo inapotea kwenye vituo vya mafuta, na kuzirudisha kwenye ujenzi wa uchumi binafsi wa familia na nchi... Tupigie Sasa 0671512733
  12. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Je, Pikipiki za Umeme (EV) ndio Mkombozi wa Kudumu dhidi ya Kupanda kwa Bei ya Mafuta Tanzania?

    Ndio, ni kweli kabisa mkuu, zinafanya kazi kama pikipiki za mafuta tu. Nguvu, ubora na uimara uleule.
  13. Nombo de classic

    JamiiForums Tanzania Je, Pikipiki za Umeme (EV) ndio Mkombozi wa Kudumu dhidi ya Kupanda kwa Bei ya Mafuta Tanzania?

    Mwanza tuko Nyamhongolo Piga simu 068566558 Bei ni Tsh 4,500,000/= Cash.
Back
Top Bottom