Recent content by Nolia boy

  1. N

    Naomba kujua gharama za kutoka Tanzania mpaka Australia pamoja na hali ya maisha huko

    Visa inatolewa ubalozi wa nchi unayotaka kwenda, usiwashauri watu wakaibiwe huko unakosema kuna wajanja wanatoa Visa
  2. N

    Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Hilo neno new model litoe, new model zipo na siyo hizo elegance za mwaka 2017, kuna hybrid new model za mwaka 2023,2024,2025 sio poa
  3. N

    Kuuza bidhaa online (Ebay,alibaba nk)

    Sio kwel, platform zote unaweza kuuza na kununua bidhaa, kikubwa ni yeye kufanya mawasiliano na kampuni husika Ili apewe utaratibu wote jinsi ya kufanya nao biashara, Platform ni kwaajili ya kumkutanisha mteja na Muuzaji
  4. N

    Naombeni kufahamu biashara ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi

    Kuna Uzi ulitumwa humu taratibu za kuagiza bidhaa china, embu search utauona upo complete, Achana na hawa wanaokukatisha tamaaa
  5. N

    Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

    Mtoa maada kaomba njia na vitu vinavyohitajika Ili aweze kupekega mzigo nje ya nchi, wew unakuja unamkatisha tamaa, kama huwezi kumsaidia kausha , watu wengi wanajifunza humu
  6. N

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Venus mimi nimefuatilia makala zako sana, Vitu vilivyonivutia niendelee kukufuatilia ni hivi hapa, 1. Maandiko yako hayafungaman na dini yoyote, Unajua watu wanachanganya iman na dini, kitu ambacho ni tofaut kabisa, unaweza enda siku kanisani na usikuwe kiiiman, Mimi ni mtu nayeamin mungu...
  7. N

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Naomba mawasiliano yako, nicheki 0713681881
  8. N

    Uliza swali lolote kuhusiana na kusafiri kwenda nchini Afrika Kusini kwa kutumia barabara

    MIMI NI MFANYA BIASHARA NAUZA MCHELE NA DAGAA, VIPI NAWEZA PATA FURSA HUKO YA KU EXPORT MAZAO YANGU KWENDA NCHI ZA SADC? SOKO LAKE LIPOJE?
Back
Top Bottom