Na wanyaki nao wanachangia mada? Hahahahahahaha hawana lolote hawa wao ni mapenzi tu mapenzi na wao utasikia ooooo eti ameshere/changia mama, kila mjumba kule kwao utasikia ni wa mama fulani
Kwani umelazimishwa kuoa? Kwani licha ya kusemwa hivo ni kweli kuwa hawaolewi? Kama hutaki acha wengine wanaoa na wanapata maendeleo, sijawahi kuona mmachame anayemlazimisha mwanaume amuuoe kama hutaki chapa lapa, hawa watu wa porini wana tabu sana, kwanza hata wazazi wa watoto wao wachaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.