Mimi nimekwisha sema na imeisha,sitakuwa na cha kupoteza zaidi ya familia yangu ambayo watakuja kunufaika kwa kupata uhuru wa kweli.
Ni mara kumi nife nikiwa nimetoka na kushiriki katika mageuzi ya kuidai uhuru wa mtanganyika kuliko kufa katika mikono ya unafiki ama manyangau wakina abdul na...
Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika.
Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU.
Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama.
Ewe mwenyezi Mungu nisaidie.
Amina
Ameandika Rais wangu wa TLS
BADALA YA KUTUNIA NGUVU KUBWA KUBAMBIKANA MA KESI YA UHAINI NGUVU HII TUNGETUMIA KULINDA RASLIMALI ZA TAIFA.
Ulinzi na usimamizi endelevu wa rasilimali za asili za Tanganyika ni suala la kufa na kupona.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sheria...
Ninachokiona kunashida ya swala zima la uzalendo kwa viongozi wetu,ndipo tunaona hii linapelekea kuanza kuhoji anapotoka kiongozi husika ndipo tunabaini si mtanganyika ndiyo maana anawajika katika kuhujumu upande mmoja na kwenda kupanufasha upande atokapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.