Recent content by nobody knows but me

  1. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Vitambaa vya kushona Kariakoo

    Asante sana kwa kunijuza
  2. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Vitambaa vya kushona Kariakoo

    Asante sana kwa kunijuza
  3. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Vitambaa vya kushona Kariakoo

    Jamani wakuu naomba mnijuze maeneo/sehemu/mtaa kunakouzwa vitambaa mbalimbali vya kushona hasa vya wanawake Kariakoo.Asanteni
  4. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Uongo kama huu ndio siupendagi....nimesoma hadi aya ya pili nikaona maneno ya uongo na Mimi km kawaida Yangu nikishaona uongo mwanzoni huwezi kunishawishi kwamba sehemu inayoendelea itakua ya ukweli.....
  5. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  6. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Niliachana naye sasa hivi anadai ana mimba yangu

    Na ilikua kweli sio?! Usicheze na akili za mwanamke....unapolania wewe, yeye ndio anapoamkia[emoji1] [emoji12] [emoji12]
  7. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Niliachana naye sasa hivi anadai ana mimba yangu

    Ndio uache kurukaruka ulee mimba....na ujue watoto wa kuzaa kila mtu na mama ake malezi huwa yanadorora sana....chagua moja.
  8. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Niliachana naye sasa hivi anadai ana mimba yangu

    Hata mwenye ukimwi atakuja atakuambia hana ngoma....utaenda nyama kwa nyama mwisho wa cku mtakua mmeshagawana pension....kisa mnaaminiana....jipendeni wanaume na mkue na akili.....
  9. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Niliachana naye sasa hivi anadai ana mimba yangu

    Una akili sana, hongera
  10. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Retarded mind at work Safari hii Jecha mlimsahau wapi/mlimpeleka wapi?!
  11. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Jecha hakuwepo nini?! Nauliza tuu....
  12. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Anataka akawalimie?! Wenyewe wanaloga hadi ardhi....singida sio wa mchezoooo
  13. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Tanzania ni nchi yenye uchumi uliodumaa, yeye ni mbunge anategemea pesa kutoka serikalini afanye marndeleo jimboni kwake....msitegemee miujiza kutoka kwa wabunge wenu..by the way Singida acheni kupuliza mnalogana hata watu hamtaki wasome....hao si ndio wataleta maendeleo nyumbani kuliko...
  14. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Hahahaa.......umemuweza atuambie km yeye ndio alimpatia huo ubunge
  15. nobody knows but me

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Wacha maneno sasa weka na mchoro kabisaa.....roho mbaya haijengi, usiendekeze siasa za vyama....mpongeze mwenzio anapopiga hatua....kama wewe una vigezo ungeenda kuchana nae sasa maana wewe ungeweza kuleta mabadiliko hayo unayoyaota, km kitu hukiwezi basi waachie wanaokiweza.....
Back
Top Bottom