Recent content by no id

  1. N

    JamiiForums Tanzania Alinisaliti, kasikia naenda chuo anavizia boom langu

    Kama kateka moyo wako ripoti kwa mamlaka zinazohusika. Utekaji ni kosa kubwa kisheria nchini kwetu, acha sheria ichukue mkondo wake.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojiona warembo sana huishia kusimamia harusi za wenzao wengi hawaolewi

    Kuna watu makini jamani!!👏👏
  3. N

    JamiiForums Tanzania Tecno mobile Mega Thread

    Msaada kwa anaejua namna ya kuswitch off tecno m6 wakuu. Niki press power button for like 3 seconds, zinakuja option mbalimbali, mojawapo ikiwepo kialama cha kuswitch off, ila nikiclick hakifanyi chochote. Also nikishikilia hio button ya power kwa muda mrefu simu inaji restart tu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani...Mwenye kuelewa jinsi ya.....

    umeshajaribu hard format ukiwa haujaiwasha?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Purple Corns in Thailand.

    Yapo kibao mkuu,hutumika kama dawa ya tumbo na wengine
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hapa wapi jamani?

    No idea but place looks legit
Back
Top Bottom