Recent content by NNL

  1. N

    JamiiForums Tanzania Utumishi

    Hivi ni kwa nini unakuwa mgumu kuelewa, umeambiwa kuwa, uandike kwa mkono ama utype yote kheri ili mradi ukidhi vgezo. Mbona unang'ang,ania kusema iandikwe kwa mkono? Mimi mwenyewe nimetype mara zote na nikaitwa usaili hata kesho naenda usaili kwa barua niliyotype.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada interview utumishi

    hapana. Nenda ulikopangiwa si uliandika unapatikana mbeya ndo maana wamekupeleka karibu na nyumbani ili kukupunguzia gharama za usafiri.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    umetumia kigezo gani kujiita umepata "A"? Kwan utumishi walishawahi kutoa mchanganuo wa alama katika grade A,B,C....? au nimchanganuo wako? Wao wanatumia minimum cut off point zao wanazozihitaji 50%<= cut off marks <= 100%, but siyo guarantee ianzie 50% wana weza chukua kuanzia 95 kutegemea na...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa chuo kikuu hawezi kuandika barua ya kazi

    hahahahahaaaaaa... Umenichekesha sana Tulimumu
  5. N

    JamiiForums Tanzania PSRS: Kulikoni zile post 101?

    Baada ya law ni wachumi wengine wanafuatia. Soma tangazo lao la psrs.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo huu wa uajiri unakera

    Hujaelewa nini?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Uchumi

    Mbona serikali imeshatangaza nafasi za wachumi II mara kibao ulikuwa wapi kuomba? Jiandae sasa kuanzia mwezi ujao govt itatangaza kazi utume
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mfumo huu wa uajiri unakera

    ukitaka kupost ki2 jf andika kwa makini maana wanasoma watu tofautitofauti, na hakikisha makosa ya madogomadogo hayapo kwa kukirudia kukisoma ulichopost. Sidhani kama hilo ni wajibu wa serikali kujua wewe unalipwa chini ya kima. Kabla ya kuanza kazi kuna mkataba ambao pamoja na malipo yako...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Uchumi

    Chuo gani?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena utumishi waita kazini (23/08/2014).

    Cheki hapo juu nimekuwekea jamaa, download na ucheki kama umo.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena utumishi waita kazini (23/08/2014).

    fungua web yao yapo bwana
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena utumishi waita kazini (23/08/2014).

    Habari wanajamvi kwa siku ya leo (23/08/2014) utumishi wameita kazini kwa waliofanya usaili kati ya tarehe 8/7/2014 na 9/8/2014. Fuata link hii hapa www.ajira.go.tz
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    sante mkuu, hayo ndo maneno.....
  14. N

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    Ishu ilikuwa ni ndogo 2, yapigwe picha yaatachiwe kwenye post watu waconfirm either wamo ama hawamo basi. Storry nyingi hazisaidii bali muhimu ni majina mbona ya uhamiaji waliyaweka?
Back
Top Bottom