Teh teh waalim wa mwendo kasi Vs mwanafunzi wa kidigital.... tujifunze katika hili jaman waalim tucontrol hasira zetu pia wazazi kwa nafasi yenu muwafunze adabu watoto wenu vzuri maana msipofanya hivo walimwengu watawafunza na si kwanamna ambayo mtafurahishwa...natumai nimeeleweka
Mjaribu kufikiria na upande wa pili wa shilingi jaman msishikilie tu hilo la watu kuwa na lengo la kuiba yamkin punde tuu baada ya majanga ya tetemeko wao kam viongoz walifanya utaratibu wa kufungua account hyo kwaajil ya watakao toa misaada kwa wahanga then wakubwa nao wakafungua nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.