Recent content by nkyalomkonza

  1. nkyalomkonza

    Arsene wenger ni bonge la kocha

    We ulikuwa hujui ubora wa Wenger?
  2. nkyalomkonza

    Lubuva unasemaje katika hili?

    Wapi hapo, Only in Tz
  3. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Kwa nini watu wana kadi lakini majina hayapo kwenye Daftari??. Huoni kuwa ni Tatizo la uzembe.
  4. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Hilo ndio tatizo langu. Sielewi majina hayo yamepotelea wapi wakati ni wao waliotuandika na kutupa ID??. Naposema Uzembe hawa jamaa ni wazembe.
  5. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Kwa kuwa na shida ya kupiga kura ndio tusiseme uzembe wa Tume??. Taarifa za baadhi ya watu wamezipotezea wapi??
  6. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Tutakuwa hatufanyi kazi zingine??. Kwa nini Majina ya Watu hayapo??
  7. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Wanadai Sijaandikushwa kwenye Daftari la kupiga kura. Wakati kadi walinipa wenyewe wakati wa kuandikishwa. Yaelekea kuna watu taarifa zao wamepoteza. Ni Uzembe uliopitiliza
  8. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Nchi hii ni yetu wote nina haki ya kulalamika kama Tume hawafanyi kazi yao
  9. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Nimeshaanya hivyo lakini system yao inasema Sijajiandikisha kwenye Daftari wakati kadi ninayo. Wazembe sana hao watu. Wanataka tuache kazi ili kuwafuatilia kwa uzembe wao.
  10. nkyalomkonza

    NEC: Leo ndio mwisho wa zoezi la kuhakiki taarifa za mpiga kura

    Mi nilishajiandikisha. Kama wameacha jina langu ni Uzembe wao. Nitaenda na Kadi yangu siku ya kupiga kura halafu waniletee maneno ya ovyo ndio watajua timbwili langu.
  11. nkyalomkonza

    Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    WE kweli ni konda. Usilalame wakati ni umbumbumbu wako. Mbona inafunguka.
  12. nkyalomkonza

    Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    Kwa wale waliokuwa wanasubiria matokeo ya kidato cha Sita Tembelea hapo http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm
Back
Top Bottom