Recent content by nkungu

  1. N

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Hapo sasa, Alimhukumu kwingine lakini anaomba radhi hapa kwenye jukwaa la ma GT. Kuna kitu kinanuka hapa.
  2. N

    Kikwete Alipata Wapi Madaraka ya Kuanzisha Mchakato wa Kuandika Katiba Mpya ya JMT?

    Katiba tuliyonayo ni ya mlengo wa chama kimoja. Tafakari.
  3. N

    Kikwete Alipata Wapi Madaraka ya Kuanzisha Mchakato wa Kuandika Katiba Mpya ya JMT?

    Kama kuna wanaolalamikia katiba hii tuliyonayo kwamba ni batili (kutokana na ulivyosema), basi hiyo ibara ya 98 aina maana. Kwa hiyo vile vile alivyoamua Nyerere (kama Rais) kuandika katiba tuliyo nayo (ambayo inalalamikiwa) ndivyo alivyoamua Kikwete (Rais) kuanzisha mchakato wa katiba mpya...
  4. N

    Kikwete Alipata Wapi Madaraka ya Kuanzisha Mchakato wa Kuandika Katiba Mpya ya JMT?

    Kama huu mchakato ni haramu, kwa ushauri wako ni kuendelea na katiba tuliyonayo? Chombo halali ni kipi?
  5. N

    Mbowe akatisha ziara yake nchini Denmark kutokana na kifo cha dada yake

    Kumbe Mbowe ana ndege inamsubiri eapoti?
  6. N

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Katika kuelimika na historia ya nchi yetu, maswali uloulizwa yana maana sana. Tafadhali yajibu.
  7. N

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Badala ya kuquote kitabu cha Dr. Ghassany, unaweza kutoa majibu juu ya maswali yaliyoulizwa na Wickama, Nguruvi3 na Yerricko kuhusu mapinduzi? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa swali hili.
  8. N

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Du kumbe sultani alisaidiwa na Nyerere baada ya kupinduliwa. Tuendelee kufyonza elimu.
  9. N

    No Longer At Ease - The Nature of Our Open Society Has Changed

    Wow, that's an articulation of a different dimension!!!
  10. N

    Hivi ni kwanini Dr. Slaa na Mbowe huwa hawatoi matamko ya kufariji waathirika kunapotokea majanga?

    Mangula na Kinana walishatoa tamko lolote baada ya majanga?
  11. N

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Ndugu Tibaijuka karibu sana JF.
  12. N

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Mfumo kristo upo Dunia nzima (Haukuanzia nchini kwetu) ukitoa nchi zenye mfumo Islam. Hii inatokana na uenezaji wa hizi dini kati ya wakoloni ((Waislamu (Waarabu)) na Wakristo ((Wamagharibu)). Wakristo walieneza dini kwa kujenga mashule, mahospitali na kadha wa kadha kuelimisha jamii husika...
  13. N

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Ma3, I was there and as a Moslem I benefited from Nyerere's decision to nationalize mission schools.
Back
Top Bottom