Recent content by Nkudumba

  1. N

    Mwenyekiti CHADEMA Mbinga awachana Viongozi Waandamizi Jukwaani

    "wanaendesha chama kama taasisi ya mtu binafsi".hivi kuna taasisi ambayo ni ya mtu binafsi? Naomba ufafanunuzi.
  2. N

    Ni kijana yupi kati ya Makamba, Zitto, Nape, Mwiguru na Ngeleja si mchumia tumbo?

    Vijana hebu tuwekane sawa,tuache palapala za midomo yetu,hivi ni nani hana maslahi binafsi ktk maisha?Ni malaika pekee wanaweza kuwa na hizo sifa.kila binaadamu kwenye nafsi yake kuna ubinafsi,kinachopimwa kwa kiongozi bora ni percentage ya huo ubinafsi wake,na mara zote kiongozi bora hujiweka...
  3. N

    Je huwa tunazisoma na kuzifahamu itikadi za vyama vya siasa kabla hatujakurupuka kuhamia?

    Iko mifano mingi ya waliofanya hivyo ila ili kuifanya hoja iwe yenye kukosoa na kujenga hakuna sababu ya kutajana majina.
  4. N

    Je huwa tunazisoma na kuzifahamu itikadi za vyama vya siasa kabla hatujakurupuka kuhamia?

    Wana jf, kwanza niwapongezeni kwa umakini mkubwa mliouonyesha wakati huu bajeti ikijadiliwa,hii imeonyesha mlio wengi mmeanza kukomaa kisiasa,kwani mmekubali kuwa bajeti hii ni ya watanzania wote bila kubagua chama cha siasa,dini,rangi,jinsia wala kabila. Pili niwapongeze mashabiki wa soka...
  5. N

    Ndege za kumwagilia maji kutokea angani zinunuliwe ili kuzuia moto; bajeti iongeze fungu ghafla

    Hilo kwa level yetu bado,wacha tupambane kwenye elimu,kilimo,maji na viwanda kwa kuwaempower vijana na wazee wa jinsia zote.tukisimama hayo mengine yatafuata automatically.
  6. N

    Mh. Mizengo Pinda: Vurugu za Mtwara zilitokea Miaka 2 na nusu iliyopita!!!

    Tuambie issue gani imekuwa raised?suala la mwaka 1 au 2 halina mashiko.
  7. N

    Abasi Mtemvu acha utapeli wa kujifanya unawatafutia vijana ajira uarabuni

    Hapa pia tusisahau tabia za watu wetu,kikweli twapaswa kujitambua matatizo yetu,sisi uvivu unatusumbua na tunapenda kula vilivyoandaliwa tuu,ndio maana maeneo mengine tunashindwa kushamiri.mvivu ni mvivu tuu hana heko,kwake yeye kosa kidogo hutafuta kila sababu ili kuficha mapungufu yake.wadogo...
  8. N

    Abasi Mtemvu acha utapeli wa kujifanya unawatafutia vijana ajira uarabuni

    Uchumi wa korea ya kusini kwa asilimia kubwa umechangiwa na nguvu kazi yake inayofanya kazi nje ya nchi katika kada za chini na kati,leo wanajikita kuimarisha viwanda ili kuufanya uchumi uwe na msukumo mpana.Ghana,mauritania,algeria na morocco nazo zimetengeneza chumi zao kwa kupeleka...
  9. N

    Vladimir Vladmirovich Puttin ndio rais mwenye akili nyingi na jasiri duniani

    Ni kweli putin ni rais wa kipekee duniani,tukumbuke kuwa aliingia mamlakani baada ya rais Yetsin,ni yetsin aliyetengeneza misingi ya kuwa na Russia yenye nguvu za kiuchumi na kijeshi,aliangalia miongoni mwa wanaomzunguka akaona ni mkurugenzi wa KGB pekee ndiye ataisaidia Russia,kwanza aliichapa...
  10. N

    Wabunge hawa wa CCM wameitia aibu Tanzania

    Ili kuthibitisha rushwa unahitaji uwe na direct evidences na sio circumstantial au hear say evidences,na kwa jinsi unavyopovuka naona bado unadhani tuko zama za ukabaila za kuwekana kizuizini,kubambikiana kesi,mob psychology kudictate kwa ufinyu wa uelewa wa sheria kwa supporters.Leo ukimuonea...
  11. N

    Wabunge hawa wa CCM wameitia aibu Tanzania

    Ukisema sio bure huko ni kufikirika,hatuwezi endesha mambo kwa kufikirika fikirika na hisia,hapa kama una ushahidi wa wao kula mlungura utoe ili wafikishwe kwa pilato na si kuunganisha maneno ili kuiteka hadhira na mambo ya kufikirika.
  12. N

    Mwigulu Nchemba - Utendaji na Uelewa Wenye Mashaka

    Povu la nini mnyalukolo,kikubwa ni kufanya budjet restructuring on a basis of enabling majority of Tanzanians to be included thus becaming beneficiaries of that particular priority,after all huku ni kuteKeleza ilani ya ccm na serikali yake wewe inakukong'oli nini?hili litafanyika utake usitake...
  13. N

    Mwigulu Nchemba - Utendaji na Uelewa Wenye Mashaka

    KMANGA kama ulimsikiliza kwa umakini mwigulu wakati anahojiwa ungeelewa alimaanisha nini,nakubali kuwa naweza kuwa mbumbu juu ya masuala ya bajeti,ila kikubwa ninachokiona na kukiamini ni kwamba ni nyinyi wachumi uchwara ndio mnaoliangamiza taifa kwani pale mtu anapotaka kutoa maamuzi yenye...
  14. N

    Abasi Mtemvu acha utapeli wa kujifanya unawatafutia vijana ajira uarabuni

    Ni ukweli pekee ndio utakaoumaliza uongo,uongo haumalizwi kwa uongo.Nichukue nafasi hii kumpongeza bravo braza AM kwa ubunifu,huu ni ubunifu ambao kila mbunge anapaswa kuwa nao katika kuwaondolea kero wapiga kura wake kwa jitihada za nje ya budjet.AM anastahili pongezi na si kutukanwa na...
  15. N

    Mangula ataka suluhu na UKAWA

    Huu ndio ukomavu wa kisiasa,wale mnaopinga msimamo huo hamjui mnalolitenda wala maana ya majadiliano ya pamoja kwa mustakabali mwema wa taifa,binafsi nimefurahishwa na kauli hii,jamii inapokuwa kwenye total political dilemma hakuna mwenye kuendelea kutunisha msuli bali jambo jema ni wote kwa...
Back
Top Bottom