Wanajamvi Heshima kwenu
Juzi katika kupiga stori na washikaj zangu pale kijiweni, si tukaanza kuzungumzia Yale Mambo ya chumbani. Eti jamaa mmoja akasema yeye hulala na mwanamke for a whole night na kupiga bao Kama nne hivi heavy lakini mwanamke hukojoa mara Moja Tena katika ile mechi ya mwisho...
Nadhani hili ni funzo kwa nchi za Afrika maana huwa sijui wanajitoa ufahamu, unakuta Kila mradi unaofanyika nchini Kuna mkono wa mchina, mara China katoa pesa bure. Kudadadeki... China atakuja kunifundishia watu hapa sijui watakua na lipi la kusema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.