Recent content by Nkinga1

  1. Nkinga1

    Leo tarehe 28/08/2017 Redio free Africa inatimiza miaka 22, njooni tukumbushane vipindi na watangazaji

    Jamani hivi ile jingle baada ya habari ya saa mbili na nusu usiku ilikuwa inasemaje maana nilikuwa nasikiliza kwa makini lakin naishia kupata neno rfa tu
  2. Nkinga1

    Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    ok acha nisitetee upande wowote ila Kiukweli Ule msemo wa samaki mmoja akioza wameoza wote tuuondoe na tujue kila ikumbe hapa duniani ni dhaifu
  3. Nkinga1

    Ujumbe wa kufungia mwaka 2018

    Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima. Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa mpaka siku ya kufa kwake. Mwenye kutaka ndugu asiye kuwa na matatizo, ataishi akimtafuta milele. Mwenye kutaka mtu wa karibu aliyekamilika...
  4. Nkinga1

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    Over! hizo nyengine ni porojo na siasa tu
  5. Nkinga1

    Hatimaye kilele cha tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Desemba 22

    Shida iko pale pale aiseee tz....................ogopa sana..........bila kiki maisha hayaendi aise..........
  6. Nkinga1

    Hatimaye kilele cha tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Desemba 22

    Hatimaye kilele cha tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Desemba 22 mwaka huu ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu liahirishwe na waandaaji wake saa chache kabla ya kufanyika.Tamasha hilo lililopaswa kufikia tamati Novemba 24 baada ya kuzunguka kwa miezi mitatu katika mikoa 14, liliahirishwa baada...
  7. Nkinga1

    Mwanza: Mkuu wa chuo cha kidini cha Kiislam atekwa na watu wasiojulikana

    Mtaniwia Radhi kwa typing errors maana nimetupia uzi nikiwa kwa dala dala then iko mwendo
  8. Nkinga1

    Mwanza: Mkuu wa chuo cha kidini cha Kiislam atekwa na watu wasiojulikana

    *Mkuu wa chuo cha kidini ya Thanawi cha Nyakato Islamic Institute kilichopo chini ya Taasisi ya Elimu ya The Registered Trustees of Islamic ya jijini hapa, Sheikh Bashir Gora anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana. Akizungumza na Mwananchi katika ofisi za Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata)...
  9. Nkinga1

    Soudybrown wa CMG Diamond Platnumz anao uwezo wa kukuajiri Umfulie tu Nguo zake za ndani

    Sasa mie nichangie nini hapa....kwa hiyo wewe ni jaji au refaree?:cool:
  10. Nkinga1

    IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

    Mzee wa konyagi sio:cool::cool::cool:
Back
Top Bottom