Unafahamu kuwa mwaka ule mwakiborwa alipewa nishani ya mpiga mizinga Bora, usije kuwa underrate JW kwenye medani hata kidogo, kwenye op, vitu vingi tulifanya sisi, intelligence, logistics, strategies zilikuwa chini yetu. Artillery baadhi zilitoka kwetu. Kwa sasa hakuna jeshi ambalo hawana mobile...
Watu wengi wanatamani kuona vijana wetu wakiingilia kati aggression ya M23 inayoendelea nchi ya congo. Conspiracies zimekuwa nyingi mno kujua nikwanini vikosi vyetu havijaingilia kati kwa sasa. Natamani kujua ukweli dhidi ya huu uonezi, na kwanini vikosi vya M23 vinapata ushindi kirahisi sana.
Wewe dogo acha ujuaji as if jeshi la Rwanda unalijua vizuri ndani na nje ya ulinzi na uwanja wa medani. Software engineer wapo wengi sana na cyber units zipi zaidi ya moja. Nawashangaa sana watu mnaobeza ni wivu tu zinawasumbua hamjui lolote ujinga tu
Haina mjadala tena huyo ndio yeye mwenyewe captain ambae pia ni CDO. Ukifika cheo cha captain unaweza kupewa jukumu ambalo ukitaka kufanikisha kitu unakuwa ni disguise. Yupo ambae aliwahi kuact kama kocha wa mpira kilichofata ni historia, yupo aliact kama muuza dagaa kigoma, mafuta ya mawese na...
Military actions are not for granted unless you want to go to hell. Usipende kujadili vitu kwa hisia kama kweli ulienda shule kujifunza namna ya kutumbua mambo. Hakuna anayeweza kuingia vitani kama ng'ombe kwa dunia ya leo ndio maana Marekani alionya Israel akijibu mapigo basi ayanywe mwenyewe...
Huwezi kupata taarifa rasmi kama huna independent mind kwa sababu kwenye media kuna biases nyingi sana. Maana yangu ni kwamba ukiwa umechukua upande ukikutana na taarifa tofauti ni zile unazotaka wewe utaona uzushi. Kwa mfano mgogoro wa mashariki ya Kati ni sehemu yenye propaganda nyingi sana...
Hufahamu kuwa kuna media bias pia, mfano aljazera wako symphasized na palestine unaweza kuwa misinformed kama huna independent mind. Misconception inatokea mara nyingi ukiwa unataka taarifa za upande mmoja.
Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
Wewe dogo unaakili au ulienda shule kujifunza ujinga, unafikili jeshi la wananchi hajui mahitaji ya technologia ya vita, nenda kikosi cha mzinga uangalie vijana wanafanya nini pale. Chuo cha maofisa TMA unafikili kuja wajinga pale, nakuambia sasa chuo cha maofisa kuna watu wanaakili pale wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.