Recent content by nkararage

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Mimi si mtoa hoja sana kwenye hii tovuti, lakini ni mzuri wa kusoma na kufuatilia. Kwanza sikubaliani na suala la kuanzisha topic za ukabila, kwa hili ninawaunga mkono wanaozipinga, lakini pia sikubaliani na kikundi kidogo cha watu wanaoonyesha hali ya kutawala kundi kubwa kwa kutumia ukabila...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili CUF wanalo la kujifunza

    Maoni yangu ni kwamba, Watanzania waishio nje ya Tanzania ni vizuri wakachangia mawazo katika kurekebisha na kuendeleza nchi kupitia vyama, makundi au mtu binafsi kwa mawazo, vitendo na mengineyo, lakini sikubaliani na suala la kuanzisha vyama nje ya nchi, au kufungua matawi ya vyama nje ya...
Back
Top Bottom