Katika shule ya sekondari Bakoba iliyopo kata Bakoba Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera imekuwa na utaratibu wa kuaagiza wanafunzi wote karatasi za Rimu kuripoti nazo kila mwezi Januari kama ilivyo kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza wanaokuwa wanajiunga na masomo.
Chazo chetu kinasema licha ya...
Ndg,Faris Buruhan ameshindwa katika kura za maoni Bukoba Vijijini kwa kupata kura 4619 nyuma ya mbunge aliyepo Dkt Jasson Rweikiza aliyepata kura 6465 .
MDAU
Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini ,
Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini tumezichoka na zimekuwa za muda mrefu, anaunda vikosi vya kutukana viongozi wetu wa serikali na chama...
MDAU
Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini ,
Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini tumezichoka na zimekuwa za muda mrefu, anaunda vikosi vya kutukana viongozi wetu wa serikali na chama...
Polisi hampaswi kujiulizauliza mtu wa kuanza nae ni Farsi Burhan Mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Kagera ambaye mwaka jana alijitangaza kuanza kuteka watu na kuwaonya kuwa inaootokea mtu akatekwa polisi msimtafute.
Anza na huyu mtekaji akiyejitangaza hadharani jamani huenda ndo yupo nyuma ya...
VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii.
Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
Enzi hizi sio za Biden, ni za kichaa Trump ,hapo kuna dozi inaandaliwa kwa ajili ya Iran maana vikosi vimeruhusiwa kushambulia hata bila kuomba idhini kutoka Ikulu pia Meli za Iran zilizopo Yemen muda wowote zinaweza shambuliwa
Kampuni zilizokuwa zikitoa mikopo kwa wananchi bila vibali na kwa riba kubwa zinapaswa kushitakiwa kwani walichokuwa wakikifanya ni utapeli kama utapeli mwingine.
Pia kwanini utapeli na wizi vimeongezeka kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita? Je,wahusika wa hizi kampuni wanaweza kuwa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera Nazir Karamagi amefikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kwa kupora ardhi ya mwananchi katika kijiji cha Itahwa na kupanda mazao ya parachichi.
Mwenyekiti Karamagi anatuhumiwa kupora heka sita.
Huyu ni mmojawapo wa viongozi aliowahi kuwataja...
Alietangaza kuanza kuwapoteza watu afiwa na baba yake mzazi.
Mpe neno la faraja
Soma Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana.
Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati.
Haendani na kasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.