Recent content by Njunwa Wamavoko

  1. Njunwa Wamavoko

    Telegram book bot

    Kila Programming language ina Wrapper au Library ya Telegram BOT API. Soma Documentation ya Telegram Bot API na documentation ya library ulochagua, zitakufanya uielewe Telegram BOT API vizuri zaidi. BTW, Telegram nafikiri iko censored na mentored yetu, nilikua na Project ya Telegram BOT ila...
  2. Njunwa Wamavoko

    Experience kutoka kwa mql5 programming language

    Share hiyo experience tuone mkuu Is it worthy? Learning curve?
  3. Njunwa Wamavoko

    Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Mkonga wa Taifa is a single point of failure. Haiwezekani mkonga ukate almost watanzania wote tukose mtandao. Wadau wengine wana bread win kwa kutumia internet then inatokea siku tatu internet iko super slow. Natambua hii ni mara chache kutokea, ila hili la juzi limetufundisha mengi.
  4. Njunwa Wamavoko

    Azam CamCard

    asante mkuu sikuwa nimeijua hii. Hizi CamCards ni lazima wakuuzie kampuni husika au unaweza agiza yako mwenyewe nje?
  5. Njunwa Wamavoko

    Azam CamCard

    Kwa ninavyojua hauwezi ondoa Card ya receiver kwenye kingamuzi chake. Wanakua wame pair card na receiver kuzuia abuse. Je, ni kweli hii inawezekana ukatoa card ya azam ukaitumia kwenye device nyingine? Unaweza kusaidia kuweka picha hapa tuone hiyo CamCard iko je?
  6. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Nashukuru Mkuu, naomba ni PM basi
  7. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Nipo Magomeni mkuu
  8. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Nshalia na hizo modem za wachina, sijui zinaku ni toys ama ni nini, ndo maana nimeona nije hapa na nimeamua kuwa categorical kuwa ziwe modem za Huawei na ZTE. Ntatuma picha baadae ili wengine wasije ingia mkenge na hizo modem za kichina. Ambazo nimeona wachina hata wakiwa nazo wanaziuza bei...
  9. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Hizi ndo fikra zetu wa Tanzania. Wapi nimetaja Dongle? Kwa nini usiwaze vitu kama Internet of Things, Microprocessors and micro controllers?
  10. Njunwa Wamavoko

    Niuzie Modem ya Huawei au ZTE

    Habari wana Jukwaa. Nina project ambayo inaitaji USB modem, yoyote kati ya hizi kampuni tajwa hapa chini: Huawei ZTE Najua teknolojia ya modem imeenda ina phase out kwenye nchi yetu, kutokana na kwamba kwa sasa kuna MiFi router ambazo unaweza kuzipata mpaka kwa 50,000/= Hivo kama kipindi...
  11. Njunwa Wamavoko

    Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    Mimi ni yule mtu anaeamini kwamba "Macbooks are the best and user friendly devices for Programmers and tech ethusiasts". Linus Torvalds, mtengenezaji wa mfumo endeshi/Kernel ya. Linux, yeye pia hutumia Macbook Air. Kama budget yako ni nzuri tafuta Macbook Pro zinazotumia Apple Silicon chips(M1...
  12. Njunwa Wamavoko

    Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    Mmemuonea lakini what if ndo anaenda chuoni, semester ijayo yupo anajiandaa kwa kutafuta details za gadgets zinazoitajika.
  13. Njunwa Wamavoko

    Backdoor: Watumiaji wa linux distribution sasa tumefikiwa

    All in All, backdoor zimekua zikiibuliwa now and then kwenye linux tools, mfano VSFTP 2.3.4 ilikua na backdoor inayoukuruhusu kuingia kwenye system ya linux kupitia port 6200. Na hii ndo teaching reference kwenye kufundisha namna ya ku run reverse shell kwenye vitabu mbali mbali. Hivo ni...
Back
Top Bottom