Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hilo
Hata mimi hii ni mara ya kwanza kutaka hiyo huduma tangu mwaka jana sijanunua vocha cash, ndiyo maana hii ikanishtua, nikadhani labda watumiaji wa huduma hii wanafahamu hilo
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu.
Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi, Nikaambiwa
Vocha ya 500 inauzwa 550,
Vocha ya 1000 inauzwa 1100.
Hili lipoje huku mtaani?
Nikiwa naendelea na makusanyo ya pesa yangu, ya kufikia ndoto ya ujenzi wa ghorof, nimepata ramani hii na kiwanja changu ni Mita 16 kwa 14.
Je wakuu hii Ramani hapa inakaa kwa ukubwa wa kiwanja hicho?
Pia wataalamu wa ujenzi naomba kufahamu kusimamisha jengo hilo bila madirisha, milango wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.