Recent content by NJUBER

  1. N

    Nini sababu ya Matajiri wengi kutokuwa wakweli juu ya utajiri wao?

    Sio wao tu hata wewe kesho ukiwa mmoja wao hutasema kila kitu kwa sababu utajiri ni matokeo ya tabia ya mtu katika kumudu mambo makuu matatu Mosi, Imani katika utendaji Pili, Siri katika utendaji Tatu, Nidhamu katika utendaji
  2. N

    Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

    Sijaona tatizo la mwamba, halafu video imechukuliwa na mtu wa ChiefGodlove na Chief ndiye aliyetaka tuone hivyo vyote. Binafsi nafurahia sana kuona watu wanaishi kama hivyo kwa sababu umasikini ni mbaya na masikini tunarudishana sana nyuma
  3. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Oh sawa muungwana sikulijua hilo. Ahsante kwa kuniongezea hili.
  4. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Naam njia ya sindano ipo, sijui ni lini ilianza kutumika ila ipo na niliwahi kukutana na shuhuda kutokea South Africa anatumia njia hiyo. Nadhani bajeti za wizara zikikaa sawa, siku sio nyingi sindano pia itaingizwa nchini.
  5. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Usisahau kugusa neno VOTE pindi ukikamilisha kusoma andiko hili. Neno VOTE linapatikana chini ya makala. Ahsante kwa ushirikiano wako.
  6. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Nilipita kwenye ajira baadaye nikaacha, nikarudi kupambana mtaani na sasa nipo kwenye biashara kama mshirika wa kibiashara (Business Partner) na nimewahi kushiriki tendo mara kadhaa na nina mchumba ambaye nitamuoa mwakani kwa kadri ambavyo Mwenyezi Mungu atajalia.
  7. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Nafurahi sana kusikia kutoka kwako mkuu. Ahsante sana Muungwana.
  8. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Sawa muungwana nitafanya hivyo mkuu.
  9. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    Ahsante kwa yote. Shukrani sana mkuu
  10. N

    SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    UKIMWI ulikuwapo, upo na bado utaendelea kuwepo mpaka hapo mkono wa heri utakapofanyika tiba ili kukomesha janga hili. Kiufupi Ukimwi bado unayachukua maisha ya ndugu zetu makundi kwa makundi. Kwa ndugu zangu ambao ni waraibu wa ngono nakuaseni kwamba pindi tunapofanya basi tufanye kwa kinga na...
  11. N

    Zali la mentali, ushauri tafadhali

    Ili kujua jamaa wapo kazini kutapeli wasio wajua unaweza ukajiridhisha hapo pichani. Hapo kuna Pamela na Lily kila mmoja alikuja kivyake ila content ni zilezile. Tena mmoja email yake ndiyo nimeifungua sasa hivi...maana nilimpotezea niliona kila kitu ni vilevile tu. Ushauri wangu usithubutu...
  12. N

    Natamani sana kupata hata mtoto mmoja tu

    Kikubwa, cha muhimu na cha msingi ni kujua kwanza kama aidha una tatizo au la ili uwe huru kujijua wewe ni wa kundi gani kuliko kuendelea kujifariji ilhali kuna shida. Jambo la pili ni kuhiyari ikiwa utakutwa na shida basi kubali kulea mwana hata kama si wako mkuu kuna thawabu kubwa katika...
Back
Top Bottom