Shahada yenyewe hujapata halafu unalilia jimbo uko sawa kweli wewe?????
Umehitimu mitihani lakn huja-graduate so u are not part of wasomi kama ulivyojinadi hapo juu.Na kusoma Pspa sio Kuwa mwanasiasa Dogo kajipange
Mkuu wa kaya amenukuliwa mara kadhaa akisema neno "usiogope"au tusitishike..kumbe ameshaona hofu haipo kwake tu bali kwa wenzake pia. Ni kwa Mara ya kwanza mwenyekiti wa ccm na rais wa Tanzania anaanza campaign za kumnadi mgombea wake ..Hii sio hofu??..yule mamvi yeye anafanya siasa upande wa...
Labda tuwekane sawa kidogo. Swala la kwenda nje I.e ughaibuni ni jambo jema sana hasa pale unapoenda kuongeza shule na maarifa pia. Tusifichane bwana watanzania wengi tumekuwa na ndoto za kwenda ughaibuni tena wengi hata kutamani kuishi huko. Hiyo si kwa watz tu, niseme waafrica wengi, nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.