Hao waliokodiwa ni wajinga sana, wanalipwa buku tano lakini watendelea kuwa na dhiki mpaka mwisho wa dunia, kweli wabongo hawawezi hata kufiria! unaenda kwenye mkutano wa ccm kwa kuhongwa buku tano halafu mwanao anakaa chini shuleni na hata walimu hawfundishi kwa kukosa maslahi mazuri, wkt huo...