Recent content by NJOMBE KING

  1. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

    Tuta mwona na kazi yake!!!?
  2. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Miche ya miti na matunda inauzwa

    kama upo njombe mjini utaletewa
  3. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Miche ya miti na matunda inauzwa

    aina ya aple ni anna .parachichi kuna weso,hasi,fwete na xikuru.hizi aina zina stawi sehemu nyingi hasa kwenye ubichi na si kwenye ukame.bei ni tsh 2500/=@1. PIA AINA NYINGINE ZIPO NYINGI NA MITI YA MBAO PAMOJA NA MAUA
  4. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Miche ya miti na matunda inauzwa

    Acha uzushi mkuu wewe unasema yasiyo fanyiwa bading
  5. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Miche ya miti na matunda inauzwa

    Apples 2500/=tu
  6. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Miche ya miti na matunda inauzwa

    Kuna miche mizuri ya matunda mbali mbali kama parachichi na epo nk inapatikana kwa wingi hapa njombe. Pia miche ya miti ya mbao inapatikana kwa bei nafuu.fika mtaa wa maheve njombe ujipatie kwa bei rahisi.
  7. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Barafu inatoweka hiyo

    Tutunze mazingira
  8. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rorya akamatwa na Meno ya Tembo

    Ndo kazi yake huyo kazoea
  9. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    nivizuri bunge hilo lisitishwe kwakua lilikuwa limetawaliwa na wahaini ccm utazani katiba ya ccm
  10. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akutana na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania mjini Dodoma leo

    Ukawa wana hoja na pia za msingi katika kujenga nchi yetu. Nawahakikishia tanzania pasipo ukawa tumekisha kwakua mkoloni ccm anatukaba kinoma tuwe na maisha duni.
  11. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Tahadhari BAVICHA

    Huyo daniel naftali kwakweli ataua chama. Maneno mengi bila utekelezaji. Hafai hafai hafai
  12. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Mkutano wa Kubenea na waandishi wa habari Kilimanjaro hoteli

    Asante kwakutetea watz waliotekwa na mkoloni ccm
  13. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Unajivunia kuwa Mtanzania au unavumilia tu!

    Kuwa mtanzania ni utumwa kwakua maccm yanatunyanyasa. Tuamue na kuitokomeza ccm kwanza .chadema inamoyo wa huruma
  14. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Njombe wamewakubali Mbowe na Dr. Slaa wakubalika kuendelea kuiongoza CHADEMA

    Pamoja sana wananjombe. Tumshukuru mungu kwa kutuweka akili na hekima za kutambua jambo jema. Watz tunataka waige mapinduzi ya kweli. Njombe bila ccm tutapata maendeleo na amani yakutosha
  15. NJOMBE KING

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwanasheria mkuu atoa taarifa kwenye vyombo vya habari

    Ccm wezi tu
Back
Top Bottom