Recent content by njohole

  1. N

    Msimamo wangu kama mtanzania

    Uko sahihi kwa mtazamo wako.Na mwingine atasema kinyume chake nae pia atakuwa sahihi..Haya malizia kutuma salamu basi.
  2. N

    Haya ndiyo madaraja mapya kwa Watumishi wa Umma

    Ni vyema tuishi hivi ili wakati mwingine tuwe makini kwenye maamuzi yetu.
  3. N

    Je, Serikali inatambua vipi vipaumbele vya wananchi na utekelezaji wake ukoje?

    Naomba kuchangia kama ifuatavyo:- Ni kweli kabisa serikali inatakiwa iangalie uhitaji wa jamii husika kabla haijafanya au kutoa huduma yoyote kwa jamii. Kimsingi vipaumbele vinatakiwa vitokane na mawazo ya watanzania katika eneo husika.Nadhani kutakuwa na tatizo mahala kwa sababu wawakilishi...
  4. N

    Ungekuwa Rais ungefanya nini kuleta maendeleo ya taifa?

    Ningekuwa mimi ningefanya hivi:- 1. Kupitia upya mikataba mbalimbali na kuifanya iwe rafiki kwa watanzania. 2. Kuweka watu sahihi katika wizara mbalimbali. 3. Kuainisha matatizo wanayopata watanzania 4. Kuweka mikakati ya kutatua matatizo yanayowakumba asilimia kubwa ya watanzania,kwa mfano...
  5. N

    Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema hivi...Vitu vyote unavyoviona ni tokeo la wazo au mawazo ya MTU au kikundi cha watu...hapa namaanisha maendeleo yote unayoyaona..hoja yangu ni kwamba maendeleo yote ni tokeo la maandishi yoyote yaliyowafanya watu wayaelewe na kufanyia kazi..To me kutumia...
  6. N

    Serikali za CCM na kuwadharau walimu

    Ninachokiona Mimi huo umoja unaosemwa unaweza ukaleta direct impact kwa wahusika physically..nahisi ndo maana walimu wanaogopa..ila nimegundua kuwa kuna kitu kinaweza kuwa kinaendelea ndani ya mioyo ya walimu kimyakimya( sema tu wengi hatujagundua)..hivi unawezaje kuamini kuwa mwanafunzi kasoma...
  7. N

    Serikali za CCM na kuwadharau walimu

    Ni kweli kabisa mtoa hoja hujakosea..kwa maoni yangu ningefurahi kama walimu wangeboreshewa maslahi yao..na kama ingewezekana walimu wa shule ya msingi ndiyo wangetakiwa kupata mshahara mkubwa zaidi kuliko level zinazofuata kama sekondari nk..hii ni kwa sababu mwalimu wa primary ana kazi kubwa...
Back
Top Bottom