Chombo cha NASA iiitwayo
Parker imegusa eneo la nje la angahewa ya Jua (solar corona). Yaani haijagonga kitu manaake huko juani hakuna sakafu ngumu)
Corona ya Jua ni ya ajabu maana sana sana kuliko sakafu ya Jua, yaani ni nyuzinoto milioni moja (1,000,000 deg C) wakati sakafu ya Jua ni...
Ni kweli hata sasa hivi sayari zote hizo zinaonekana kiasi saa tatu hivi usiku. Ila ikifika Januari 25 sayari Mirihi (Mars) itaanza kuonekana kuanzia saa ya magharibi na wakati huo itang’aa zaidi kwa Tanzania tutaziona sayari kwa mpangilio wa mstari wa angani kutoka mashariki hadi magharibi...
Magimba ya angani kuonekana jirani na nyingine ni kwa vile vipo mueleko sawa na huko unakoangaklia ingawa vinakuwa vimepishana sana kuwa umbali kati yao. Ni kama vile unaweza kuona tawi la mti unaona jirani au pamoja na wingu fulani angani ingawa wingu liko mbali sana kuliko tawi.
Leo Mwezi hilali ulionekana kuwa jirani kabisa na sayari Zohali (Saturn). Haikuwashtua watu wengi kwa vile Zohali imefififa ikilinganishwa na Zuhura (Venus) ambayo ilionekana pekee chini ya jozi ya Mwezi na Zohali
Madhara ningetamka haraka tena kwanza. Mwezi na sayari vyote vinaweza kutazamwa kwa macho moja kwa moja kwa hiyo kufichika moja haiwezi kuongeza tatizo.
Labda kama mawazo yako ni katika mambo ya sheh yahya hayo ni mambo ya imani na kila mtu anafumbua kwa njia yake bila kuwa na misingi ya kiasilia
Usiwe na mashaka kuwa tukio ni kama mtoto kapita mbele ya TV. Hili ni kitu cha kutokea nadra sana na nyingine kama hii haitatokea kwa zaidi ya miaka 20 ijayo
Kuanzia Oktoba 14 na kwa siku chache zinazofuata unaweza kuangalia Kimondo mkia ATLAS Tuchinshan upeo wa magharibi mara baada mara baadanya machweo angani palipooneshwa katika picha hizi za 14-19 Oktoba.
Kwa hiyo kuanzia usiku huu wa Jumatatu tarehe 14 Oktoba ambapo sayari Zohai itafichika...
WATCH TONIGHT - Lunar Occultation - Moon will hide Saturn today October 14 from 8 pm to 9:30 pm
ANGALIA LEO USIKU - Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo Oktoba 14 kuanzia saa 2 usiku hadi saa 9:30
English version is below the Kiswahili information
Sayari Zohali kufichwa na Mwezi leo usiku...
Hodi hodi, kuna yeyote huko?
Jinsi Sayansi inavyotusaidia kuchunguza kama kuna Dunia nyingine kama yetu huko mbali katika nyota zingine za galaksi yetu.
Click Join our Cloud HD Video Meeting to start or join a scheduled Zoom meeting.
PUBLIC LECTURE
Anybody out there?
How Climate Science is...
Jioni ya Jumapili 20 Desemba Mstarii ilionekana kwa urahisi na Zohali ilikuwa jirani zaidi kama inavyoonekana hapa chini. Picha ya chini yake nimezizungushia boxi ambamo Zohali (Saturn) iko juu na kushoto tu na nukta ya Mshtarii. Picha ya chini yake nimezizungushia boxi ya bluu uweze kuziona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.